Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Vipi ataweza jibu hoja za wapinzani kweli bila ngumiWatu wengi tunamuonea huruma maana alituaminisha kuwa kazi ya urais ni ngumu sana
Wapi MEMBE?Mtifuano ungekuwa mkali kama hawa pia wangechukua fomu Kinana, Membe na January,
[emoji1][emoji1][emoji1] Uoga ni umasikini kama unavyotukabili sasa hapa nchini. The game must be fair . Free competition.Nasikia pale lumumba amewekwa kipara kipya amepewa jukumu moja tu akimuona Membe anaingia lumumba ampigie simu Bashiru ili akimbie na form
Ajiandae kukubaliana na changamoto hizo maana kipindi hicho hatokuwa na kinga ya uraisiVipi ataweza jibu hoja za wapinzani kweli bila ngumi
[emoji1][emoji1][emoji1] Uoga ni umasikini kama unavyotukabili sasa hapa nchini. The game must be fair . Free competition.
Rudi mirembe ukamalize dozi!Nasikia pale lumumba amewekwa kipara kipya amepewa jukumu moja tu akimuona Membe anaingia lumumba ampigie simu Bashiru ili akimbie na form
Naona umepatwa na ugonjwa wa kuhara!Yesu kainyakuwa form na kupaa nayo mbinguni?
Naona umepatwa na ugonjwa wa kuhara!
Sasa mshikaji unapewa shavu kama hilo alafu unaficha! Au hutaki mangi mwenye duka pale kwenu maji matitu ajue kuwa umepata dili asikudai?Rudi mirembe ukamalize dozi!
Wewe sio bure umerogwa mtani!Yaani ndiyo unatoka lindo pale lumumba getini, maana nimekuta umepewa shavu la kukaa getini ili ukimuona Membe anaingia hapo kuchukua form umpigie Bashiru ili akimbie na form
Walah leo ni mara ya tatu unarudia hii maji matitu nina hakika ni wewe tu niliyekuona!Sasa mshikaji unapewa shavu kama hilo alafu unaficha! Au hutaki mangi mwenye duka pale kwenu maji matitu ajue kuwa umepata dili asikudai?
Aaaaaah, mimi ukinihitaji utanikuta hapa kakonkoWalah leo ni mara ya tatu unarudia hii maji matitu nina hakika ni wewe tu niliyekuona!
Dambwi lako maji matitu huna mpango unaishi kwa shemeji!Aaaaaah, mimi ukinihitaji utanikuta hapa kakonko
Yaani badala ufurahie kupata dili unanikandia!Wewe sio bure umerogwa mtani!
Dambwi lako maji matitu huna mpango unaishi kwa shemeji!
Furahi wewe kwa huyo jamaa yako aliyepata dili maana mizinga itapungua mimi shamba nawekeza!Yaani badala ufurahie kupata dili unanikandia!
Password umeiweka wazi mwenyewe!Huko maji matitu mnajua nyinyi watu wa mijini, mimi nipo kwetu Kakonko najipigia zangu kayoga
Password umeiweka wazi mwenyewe!