Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Nasubiria siku ya uchaguzi tu nimpe chuma kura yangu maana hakuna namna naona anatosha tu
-maaana kwa vitu alivyofanya kwa awamu hiii ni vikubwa sana
  1. Huku arusha machinga hawasumbuliwi tena kama zamani
  2. Elimu bure kwa watoto wa shule
  3. Miradi mikubwa ya maji arusha
  4. Arusha mjini lami tu
  5. Na kupambana vyema na covid
Asante sana CHUMA ---TANO TENA
 
Wewe ni RAIA Wa nchi gani?
 
M

Mod!Naomba mfute huu upumbavu wa Huyu Malaya wa kisiasa.Tuna Mambo mengi ya kujadili siyo uchafu huo
 
Sasa mkuu unapatake kura 100%???? How yaniiii...how??? Hata ukipigiwa kura za yes or no huwezi pata asilimia 100
 
Form ipo Mojaa ila ukitaka Form ya kugombea urais na weww unaweza kwenda kwa Mzee baba akupe upige copy
 
Sasa mkuu unapatake kura 100%???? How yaniiii...how??? Hata ukipigiwa kura za yes or no huwezi pata asilimia 100
Nilijiamini kwa ujinga.
So mpaka leo, mambo yakishakuwa ni uchaguzi! Si mwamini yeyote.
 
Nilijiamini kwa ujinga.
So mpaka leo, mambo yakishakuwa ni uchaguzi! Si mwamini yeyote.
Hata kwenye wafuasi wako unaowaamini kabisaa yani lazima kuna masnitch mkuu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani hap kwa JPM wakitoa form zingine ndo atajua hajuiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] meza inaweza pinduka mamaeee saa ingine democracy haifaii..
 

Katiba ya nchi inataka mgombea lazima apitishwe na chama Cha siasa.

Fomu yake lazima ipelekwe NEC
 
Kwani uzoefu ukoje kwa mnaojua kwamba ifikapo awamu ya pili form huwa anachukua mtu mmoja tu au kwa awamu zilizopita ilikuwaje?
 
  1. mafisadi yote ameyakatalia kurudi tena CCM
  2. bei ya nishati ya umeme imepungua
  3. sukari imeshuka bei hadi 500 kwa kg
  4. watumishi wamepandishwa madaraja
  5. mfumuko wa bei umepungua zaidi jambo lililopelekea pasiwepo taathira yoyote(licha ya watumishi kutokupandishiwa mishahara yao)
  6. maji safi na salama yanapatikana takribani 50% ya mikoa yote iliopo Tanzania
  7. korosho zimepata mnunuaji na wakulima wamepewa stahiki zao
 
Ndio hivyo mkuu.
Magu analijua hili vizuri sana.
 
HA HA HA mafisadi ni wepi tena
 
Sema watanzania wanasubiri siku ya Magufuli kuapishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…