Panaless The Great
Member
- Feb 13, 2013
- 46
- 27
Nasubiria siku ya uchaguzi tu nimpe chuma kura yangu maana hakuna namna naona anatosha tu
-maaana kwa vitu alivyofanya kwa awamu hiii ni vikubwa sana
-maaana kwa vitu alivyofanya kwa awamu hiii ni vikubwa sana
- Huku arusha machinga hawasumbuliwi tena kama zamani
- Elimu bure kwa watoto wa shule
- Miradi mikubwa ya maji arusha
- Arusha mjini lami tu
- Na kupambana vyema na covid