Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Miradi aliyofanya jiwe ipo chini ya kiwango sana na ni suala la muda tu kabla ya kujulikana ila anatumia nguvu kubwa sana kuzuia watu wasiongee.
 
Ongeza ufuta hapo
 
Madikteta huwa hawataki ushindani wowote.
 

Kura tuu inatosha kwa hayo yote uliyoyataja? Mpatie hata mengineyo Dada yangu!
 
mzee, magufuli hahitaj kura yako mwenyekiti wa tume tu anamtangaza hata kama kashindwa
 
Mh Rais kuna kipindi ulipoingia madarakani ulikuwa unalalama kuwa majukumu ya urai ni magumu,yanakutesa hadi muda mwingine unakuwa frustrated.

Unalala hadi na mafaili.

Tujulishe kama mambo yamebadilika,sasa ni rahisi na unakula mema ya nchi vizuri hivyo tuondoe mashaka juu yako.

Kama bado,usiirudishe hiyo fomu tuwaachie wapenda madaraka.
 
Kwa mtu muadilifu ikulu ni mzigo mzito by jk nyerere.

Lakini ndiye alikaa muda mrefu kuliko.sikwambii ni kwanini sababu si kweli kwamba unataka kujua,bali una jibu lako.
 
Kwa hiyo ni vizuri awaachie "mabeberu"
Au wapigaji wasio jua thamani ya utanzania
 
Tushukuru kasema 10 inamtosha (katiba) au sivyo fikiria akifuata nyayo za M7 au Ka-mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…