Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Mwingine Nani anachukua form huko

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kuchukua fomu ni hiari sio lazima ukiona hakuna mwingine kachukua jua ni hiari .CCM tuko kidemokrasia mtu ana hiari ya kuchukua au kutochukua fomu.Hivyo ukiona hakuna aliyechukua zaidi Ya raisi Magufuli ujue wazi kuwa watu wametumia hiari yao kutochukua fomu sio kesi
 
Hakuna hata mgombea mwingine wa kufanya maigizo ya kuchukua fomu huko ili aoneshe Mwenyekiti wenu sio dikteta, ameruhusu ushindani ndani ya chama chake?
 
Lumumba Nani mwingine amechukua fomu?
Kuchukua fomu sio lazima.Sio kama kikao kuwa lazima akidi itimie NDIPO MKUTANO uanze!!!

Kuchukua fomu ni hiari ya mtu asipoochukua huwezi komaa ohhh mbona huchukui? kwani lazima?

Mimi kwa hiari yangu sijachukua fomu ya kugombea uraisi kupitia CCM wala sina mpango unasemaje sasa?
 
Nimekumbuka uamuzi wa B K Membe
 
Huko hakuna anaeruhusiwa kuchukua fomu,demokrasia imetaradadi watu wote mmebaki kusifia matumbo yenu mnamuogopa.
Bungeni mnapiga makofi tu hata akinywa maji makofi kwa yesuu
 
Kila la heri kwa Yohana, sitapiga kura lakini namuombea ushindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…