johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Anasubiriwa Mbowe tu October...... Itakuwa kama kumsukuma naniliu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasubiriwa Mbowe tu October...... Itakuwa kama kumsukuma naniliu!
Anashindana na Nani hapo ccm?WAO kumekucha .Mjenga nchi kachukua fomu .Hongera sana
Kuchukua fomu ni hiari sio lazima ukiona hakuna mwingine kachukua jua ni hiari .CCM tuko kidemokrasia mtu ana hiari ya kuchukua au kutochukua fomu.Hivyo ukiona hakuna aliyechukua zaidi Ya raisi Magufuli ujue wazi kuwa watu wametumia hiari yao kutochukua fomu sio kesi
Hakuna hata mgombea mwingine wa kufanya maigizo ya kuchukua fomu huko ili aoneshe Mwenyekiti wenu sio dikteta, ameruhusu ushindani ndani ya chama chake?Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
Maendeleo hayana vyama!
Kuchukua fomu sio lazima.Sio kama kikao kuwa lazima akidi itimie NDIPO MKUTANO uanze!!!Lumumba Nani mwingine amechukua fomu?
Amekuwa Rais kwa miaka kumi katiba imesema mwisho miaka kumi pia amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka nane so amestaafu utumishi wa UmaHivi dr shein kwann na yeye asichukue fom ya urais wa JMT
KivuliAnagombea dhidi ya nani?
Nimekumbuka uamuzi wa B K MembeKuchukua fomu ni hiari sio lazima ukiona hakuna mwingine kachukua jua ni hiari .CCM tuko kidemokrasia mtu ana hiari ya kuchukua au kutochukua fomu.Hivyo ukiona hakuna aliyechukua zaidi Ya raisi Magufuli ujue wazi kuwa watu wametumia hiari yao kutochukua fomu sio kesi
Huko hakuna anaeruhusiwa kuchukua fomu,demokrasia imetaradadi watu wote mmebaki kusifia matumbo yenu mnamuogopa.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
Maendeleo hayana vyama!
Masta kwa hili swali lako, hapo ndio muvi moja Kali itachezwa hatutakaa tuamini, bongo muvi ndio linaanza..Mwingine nani kachukua?