Kuna I'll methali inasemaNdio bora apitishwe tu amefanya kazi kubwa kumpinga Magufuli ni kujidhalilisha tu
Bwasheh naona zenji wanaochukua form ni wengiKatiba ya chama inasema urais ni miaka 10!
YesKwa hiyo na chadema kule ni maigizo?hahaha
Mkuu naamini wewe ni mwenye akili timamu. Udumu hivi. Umejibu kiweledi. Basi msiwasakame jamaa zetu na mwenyekiti wao.Kuchukua fomu ni hiari sio lazima ukiona hakuna mwingine kachukua jua ni hiari .CCM tuko kidemokrasia mtu ana hiari ya kuchukua au kutochukua fomu.Hivyo ukiona hakuna aliyechukua zaidi Ya raisi Magufuli ujue wazi kuwa watu wametumia hiari yao kutochukua fomu sio kesi
Na alivyokuwa akiulalamikia. Huyu kiongozi wetu! Sijui!Sasa ndo nini yani raisi Magufuli amechukua fom ya kugombea Uraisi?
Na alivyokuwa akiulalamikia. Huyu kiongozi wetu! Sijui!