Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂Pale unapo oa mke wako
kwa hiyo huwa wanamaanisha siasa ni kitu cha hovyo na hakiko serious.Ndio maana ukifanya kitu cha hovyo na usipokuwa serious kwenye ishu fulani unaambiwa 'hebu acha kufanya siasa'.............
Na atasema sikutaka kabisa .
Nimelazimishwa
Sasa ndo nini yani raisi Magufuli amechukua fom ya kugombea Uraisi?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mbona kama unalazimisha
Mpaka sasa aliyechukua fomu ni mmoja.
2015 waliochukua walikuwa zaidi ya 20.
Ni matumaini Yangu kina Mwigulu ,Lukuvi ,Lowasa,Sumaye ,Mwakyembe ,na wengineo wengi watachukua ,tunahitaji demokrasia kuweni mfano
Mbona kama unalazimisha
Kutochukua fomu pia ni demokrasia.Mtu ana uhuru wa kuchukua fomu au kutochukua Mimi kwa kupenda uhuru na demokrasia yangu nimeamua kutochukua .Ni matumaini Yangu kina Mwigulu ,Lukuvi ,Lowasa,Sumaye ,Mwakyembe ,na wengineo wengi watachukua ,tunahitaji demokrasia kuweni mfano
Mbona kama unalazimisha
Thubuuutuuuuuu, ilikuwa moja tu
Mwaka 2010Mpaka sasa aliyechukua fomu ni mmoja.
2015 waliochukua walikuwa zaidi ya 20.
Ni matumaini Yangu kina Mwigulu ,Lukuvi ,Lowasa,Sumaye ,Mwakyembe ,na wengineo wengi watachukua ,tunahitaji demokrasia kuweni mfano
Mbona kama unalazimisha
Kutochukua fomu pia ni demokrasia.Mtu ana uhuru wa kuchukua fomu au kutochukua.Mimi kwa kupenda uhuru na demokrasia yangu nimeamua kutochukua .Kwani demokrasia unayoijua wewe ni ya kuchukua fomu tu ya kutochukua sio demokrasia mtu akiamua hachukui?
Wanahofu ya kushindwa na Magufuli
Wanajua Magufuli lazima ashinde kwa 98% ndio maana hawataki wapambane naye
ushahidi please kuwa iko moja tu weka hapaKwanini mmechapisha moja tu?