Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Mpaka sasa aliyechukua fomu ni mmoja.

2015 waliochukua walikuwa zaidi ya 20.

Ni matumaini Yangu kina Mwigulu ,Lukuvi ,Lowasa,Sumaye ,Mwakyembe ,na wengineo wengi watachukua ,tunahitaji demokrasia kuweni mfano
Ningekuwa 40+ ningechukua pls chukueni fomu
 
Sasa kuna tofauti gani na north korea ?
Kutochukua fomu pia ni demokrasia.Mtu ana uhuru wa kuchukua fomu au kutochukua Mimi kwa kupenda uhuru na demokrasia yangu nimeamua kutochukua .Kwani demokrasia unayoijua wewe ni ya kuchukua fomu tu ya kutochukua sio demokrasia mtu akiamua hachukui?
 
Msiogope onyesheni nia hata mtu akipata kura mbili sio mbaya
Kuchukua fomu sio maonyesho ya sabasaba!!! kwa hiyo chadema mnachukua fomu kama maonyesho? mumegeuza ofisi ya chama kuwa jumba la maonyesho ya nanenane au?
 
2015 alibeep tuu safari hii kaamua Kupiga sasa
 
Maana tuna demokrasia pana
Kuchukua fomu sio maonyesho ya sabasaba!!! kwa hiyo chadema mnachukua fomu kama maonyesho? mumegeuza ofisi ya chama kuwa jumba la maonyesho ya nanenane au?
 
Maana tuna demokrasia pana
ya maonyesho? inaonekana kwenye ugombea uraisi tu chadema? mbona kwenye ugombea mwenyekiti chadema taifa ambako ruzuku yote hutua hiyo demokrasia mbona chadema hamna? uraisi hauna ruzuku ndio maana Mbowe kaachia yeyote agombee anayetaka cha msingi alipie fomu Mbowe apate pesa ya kunywa konyagi kubwa.

Mbowe kageuza ugombea uraisi duka la mangi la kuuza fomu za ugombea.Angependa wanachadema wote wakanunue fomu za kugombea ni mradi wa lala salama

Tafadhali hamasisha wanachadema wengine wakachukue fomu waende na CASH asiye na CASH hatapewa fomu
 
Walichukua fomu wakagombea labda wewe mgeni wa nchi hii kama hujui

Back
Top Bottom