Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Utamaduni wa CCM wa chama dola na jeuri zake si salama kwa nchi hii ya Tanzania

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nianze kwa kucheka kwanza maana wanasiasa wa hii nchi vituko vyenu haviishi kila kukicha.

Rais Magufuli amekuwa akituambia kuwa kazi ya Urais ni ngumu mno mpaka huwa anajuta ni kwa nini alichikuaga fomu ya kuwania urais mwaka 2015.

Rais Magufuli anaendelea kwa kutuambia kwamba kuna muda anatamani hata aiache kwani imemfanya aonekane mzee kuliko hata watangulizi wake na kuendelea kutoa sababu nyingine nyingi zinazo mkuta katika nafasi hiyo zinazo fanya ajutie kuchukua fomu.

Sasa leo nimemuona akichukua fomu tena ya kugombea nafasi ya Urais ile ile aliyo kuwa anasema ni ngumu[emoji23][emoji23][emoji23] nyie wanasiasa sometimes mnafurahisha.

Sasa swali kwako Rais Magufuli, Ni Kazi gani ya Urais uliyo kuwa unatuambia kuwa ni ngumu? Si ni hii hii uliyo chukua fomu tena kwenye chama chako kuomba uendelee nayo?

Kwa hiyo mheshimiwa Rais ulikuwa unatuchora wananchi wako [emoji38][emoji38][emoji38] wanasiasa wa Tanzania mnafurahisha sana.

Yupo mwingine kule Zanzibar yeye tangu miaka ya zilipendwa bado anagombea tu mpaka leo na mwaka huu nadhani anagombea tena[emoji38][emoji38][emoji38]

Chadema na kwenyewe napo nimemuona mmoja katangaza nia ila alisha wahi kuwania nafasi ya Urais kipindi hicho Benja anaitwa Rais[emoji38][emoji38][emoji38]

Jamani kama mambo yamekushinda acha tu usilazimishe ya nini kung'ang'ania wakati kila kukicha vijana wapya wasomi wanazaliwa kwenye hii nchi? Acheni kutubania nafasi nyie wazee.

Kuna kabila wanasema "vileke vizende vindi viloza" fanyeni hivyo.

#mimisiomwanasiasa.
 
Uchaguzi huru na haki CCM ni weupe hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu anaipenda CCM miaka zaidi ya 50 Nchi haina maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, wakijenga chochote kidogo CCM wanataka wapewe sifa utazani ni Hisani za CCM?

Maendeleo ni lazima ni pesa za walipa kodi, maendeleo siyo Hisani ya CCM, pesa inayotumika kuihujumu kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi sana ni pesa ambazo zingeweza kujenga viwanda kila kata, vyuo vikuu kila wilaya, Hosptal za rufaa kila mkoa, daraja toka mwanza mpaka ukerewe.

Toka Dsm mpaka Zanzibar na pemba, madalali wa siasa wanufaika wa utawala huu wenye chuki na chadema wapo busy kupeleka bajeti za kila aina wavune 10% pesa za kuinyong’onyesha chadema ni mradi haramu unaowanufaisha wajanja wachache huko CCM.
 
Na Mbowe je?

Si anasemaga uenyekiti ni mgumu
Nimemtaja humo mkuu pia nilikuwa nimemsahau na yule Profesa wa chama cha CUf nae ni wale wale tu bila shaka hata yeye atagombea mwaka huu.
 
Ngoja achukue form kwa kuwa kuna kiporo cha masikitiko ya wastaafu wa ATCL kutolipwa madai yao ya mapungufu ya pension japo walikatwa kwenye mishahara. Huenda akawakumbuka kama alivyofanya kwa walimu wenzake.

Wazee ni hazina ya taifa. Wizara ya UUM inatupa mpira wizara ya Fedha na kukaidi maelekezo ya Katibu Mkuu Kiongozi ya kulipa madai ya wastaafu wa ATCL.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nianze kwa kucheka kwanza maana wanasiasa wa hii nchi vituko vyenu haviishi kila kukicha.

Rais Magufuli amekuwa akituambia kuwa kazi ya Urais ni ngumu mno mpaka huwa anajuta ni kwa nini alichikuaga fomu ya kuwania urais mwaka 2015.

Rais Magufuli anaendelea kwa kutuambia kwamba kuna muda anatamani hata aiache kwani imemfanya aonekane mzee kuliko hata watangulizi wake na kuendelea kutoa sababu nyingine nyingi zinazo mkuta katika nafasi hiyo zinazo fanya ajutie kuchukua fomu.

Sasa leo nimemuona akichukua fomu tena ya kugombea nafasi ya Urais ile ile aliyo kuwa anasema ni ngumu[emoji23][emoji23][emoji23] nyie wanasiasa sometimes mnafurahisha.

Sasa swali kwako Rais Magufuli, Ni Kazi gani ya Urais uliyo kuwa unatuambia kuwa ni ngumu? Si ni hii hii uliyo chukua fomu tena kwenye chama chako kuomba uendelee nayo?

Kwa hiyo mheshimiwa Rais ulikuwa unatuchora wananchi wako [emoji38][emoji38][emoji38] wanasiasa wa Tanzania mnafurahisha sana.

Yupo mwingine kule Zanzibar yeye tangu miaka ya zilipendwa bado anagombea tu mpaka leo na mwaka huu nadhani anagombea tena[emoji38][emoji38][emoji38]

Chadema na kwenyewe napo nimemuona mmoja katangaza nia ila alisha wahi kuwania nafasi ya Urais kipindi hicho Benja anaitwa Rais[emoji38][emoji38][emoji38]

Jamani kama mambo yamekushinda acha tu usilazimishe ya nini kung'ang'ania wakati kila kukicha vijana wapya wasomi wanazaliwa kwenye hii nchi? Acheni kutubania nafasi nyie wazee.

Kuna kabila wanasema "vileke vizende vindi viloza" fanyeni hivyo.

#mimisiomwanasiasa.
Hayo maneno ni sawa na Yale ya ukomo wangu ukifika sitoongeza hata nukta
 
Ngoja achukue form kwa kuwa kuna kiporo cha masikitiko ya wastaafu wa ATCL kutolipwa madai yao ya
mapungufu ya pension japo walikatwa kwenye mishahara. Huenda akawakumbuka kama alivyofanya kwa walimu wenzake. Wazee ni hazina ya taifa. Wizara ya UUM inatupa mpira wizara ya Fedha na kukaidi maelekezo ya Katibu Mkuu Kiongozi ya kulipa madai ya wastaafu wa ATCL.
Sahau Hilo kwa Upendo gani
 
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.

Maendeleo hayana vyama!
Kachukua fomu kwenye ofisi yenye picha yake[emoji3]

Yaani Ni sawa na kuingia nyumbani kwako na kumwabia kijana wa kazi akupe hizo karatasi

Nasikia eti fomu iliyochapishwa Ni moja mwingine alitaka anaambiwa akaombe alieichukua apige kopi[emoji1787]

Raha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapa nipo kibaigwa nalekea ddm kuchukua fomu ya uraisi, ole wake nikute mizengwe naondoka na nywele za mtu kimazingara.
 
Back
Top Bottom