Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ndipo hakukaliki kila mmoja anawaza jinsi ya kuwakabili chadema wasijue kuwa uchakachuaji utapamba moto.Kumekucha, mitaa ya ufipa hakukaliki sasa
Nimemtaja humo mkuu pia nilikuwa nimemsahau na yule Profesa wa chama cha CUf nae ni wale wale tu bila shaka hata yeye atagombea mwaka huu.Na Mbowe je?
Si anasemaga uenyekiti ni mgumu
Hayo maneno ni sawa na Yale ya ukomo wangu ukifika sitoongeza hata nukta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nianze kwa kucheka kwanza maana wanasiasa wa hii nchi vituko vyenu haviishi kila kukicha.
Rais Magufuli amekuwa akituambia kuwa kazi ya Urais ni ngumu mno mpaka huwa anajuta ni kwa nini alichikuaga fomu ya kuwania urais mwaka 2015.
Rais Magufuli anaendelea kwa kutuambia kwamba kuna muda anatamani hata aiache kwani imemfanya aonekane mzee kuliko hata watangulizi wake na kuendelea kutoa sababu nyingine nyingi zinazo mkuta katika nafasi hiyo zinazo fanya ajutie kuchukua fomu.
Sasa leo nimemuona akichukua fomu tena ya kugombea nafasi ya Urais ile ile aliyo kuwa anasema ni ngumu[emoji23][emoji23][emoji23] nyie wanasiasa sometimes mnafurahisha.
Sasa swali kwako Rais Magufuli, Ni Kazi gani ya Urais uliyo kuwa unatuambia kuwa ni ngumu? Si ni hii hii uliyo chukua fomu tena kwenye chama chako kuomba uendelee nayo?
Kwa hiyo mheshimiwa Rais ulikuwa unatuchora wananchi wako [emoji38][emoji38][emoji38] wanasiasa wa Tanzania mnafurahisha sana.
Yupo mwingine kule Zanzibar yeye tangu miaka ya zilipendwa bado anagombea tu mpaka leo na mwaka huu nadhani anagombea tena[emoji38][emoji38][emoji38]
Chadema na kwenyewe napo nimemuona mmoja katangaza nia ila alisha wahi kuwania nafasi ya Urais kipindi hicho Benja anaitwa Rais[emoji38][emoji38][emoji38]
Jamani kama mambo yamekushinda acha tu usilazimishe ya nini kung'ang'ania wakati kila kukicha vijana wapya wasomi wanazaliwa kwenye hii nchi? Acheni kutubania nafasi nyie wazee.
Kuna kabila wanasema "vileke vizende vindi viloza" fanyeni hivyo.
#mimisiomwanasiasa.
Sahau Hilo kwa Upendo ganiNgoja achukue form kwa kuwa kuna kiporo cha masikitiko ya wastaafu wa ATCL kutolipwa madai yao ya
mapungufu ya pension japo walikatwa kwenye mishahara. Huenda akawakumbuka kama alivyofanya kwa walimu wenzake. Wazee ni hazina ya taifa. Wizara ya UUM inatupa mpira wizara ya Fedha na kukaidi maelekezo ya Katibu Mkuu Kiongozi ya kulipa madai ya wastaafu wa ATCL.
Kachukua fomu kwenye ofisi yenye picha yake[emoji3]
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Magufuli amechukua fomu ya kuwania kinyang'anyiro cha Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Magufuli amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Bashiru Ally, Makao Makuu ya CCM, Dodoma.
Maendeleo hayana vyama!
Nahitaji wagombea wa 2010
Itakuwa aibu ya mwaka kwa CCM kama mwingine hatachukua fomu hata ya kuzugia