Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Uchaguzi 2020 Mwenyekiti wa CCM, Dkt. John Magufuli achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kwa muhula wa pili

Hujawahi kuona hata kwenye mieleka aliena mkanda anagombania huohuo mkanda!! Mieleka bhana😂
 
Sasa ndo nini yani raisi Magufuli amechukua fom ya kugombea Uraisi?

"Wakati huo Yesu alitoka Galilaya akafika katika mto Yordani, akamwendea Yohane ili abatizwe naye. Lakini Yohane alijaribu kumzuia akisema, “Je, wewe unakuja kwangu? Mimi hasa ndiye ninayehitaji kubatizwa nawe.” Lakini Yesu akamjibu, “Acha tu iwe hivyo kwa sasa, maana ndivyo inavyofaa tuyatekeleze yale yote Mungu anayotaka.”; Mat.3:13-15.

Ndivyo yanenavyo maandiko. In short, hapo kwenye red, anachofundisha Bwana Yesu ni kwamba no matter how great you are, no matter how clean you are (mistari michache iliyotangulia Yohana Mbatizaji alishamshuhudia Yesu kuwa asiye na dhambi), ni muhimu kuheshimu taratibu zilizowekwa.

Kama utaratibu wa anayeomba nafasi ya kugombea uraisi ni kuchukua fomu, basi ilimpasa Rais kuheshimu utaratibu huo kwani anaomba kugombea tena kwa muhula mwingine.
 
Ni matumaini Yangu kina Mwigulu ,Lukuvi ,Lowasa,Sumaye ,Mwakyembe ,na wengineo wengi watachukua ,tunahitaji demokrasia kuweni mfano
Kutochukua fomu pia ni demokrasia.Mtu ana uhuru wa kuchukua fomu au kutochukua Mimi kwa kupenda uhuru na demokrasia yangu nimeamua kutochukua .

Kwani demokrasia unayoijua wewe ni ya kuchukua fomu tu ya kutochukua sio demokrasia mtu akiamua hachukui?
 
Mpaka sasa aliyechukua fomu ni mmoja.

2015 waliochukua walikuwa zaidi ya 20.

Ni matumaini Yangu kina Mwigulu ,Lukuvi ,Lowasa,Sumaye ,Mwakyembe ,na wengineo wengi watachukua ,tunahitaji demokrasia kuweni mfano
Mwaka 2010
Ccm walichukua form watu wangapi ?
 
Hiyo ni dalili kuwa CCM hawapo salama, akimalizana na upinzani anahamia kwa wana CCM!
09886.jpg
 
Kwanini mmechapisha moja tu?
Kutochukua fomu pia ni demokrasia.Mtu ana uhuru wa kuchukua fomu au kutochukua.Mimi kwa kupenda uhuru na demokrasia yangu nimeamua kutochukua .Kwani demokrasia unayoijua wewe ni ya kuchukua fomu tu ya kutochukua sio demokrasia mtu akiamua hachukui?
 
Back
Top Bottom