johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #101
Viongozi wa Chadema wana maplastiki vichwani by Lwakatare!Ndiyo ujue kuwa uvccm wengi wao ni mapipa kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viongozi wa Chadema wana maplastiki vichwani by Lwakatare!Ndiyo ujue kuwa uvccm wengi wao ni mapipa kichwani
Watakuja watu kutoka vijijini nao wachukue form ili kuonyesha kulikuwa na demokrasia. Hakuna mtu serious anaweza kujitokeza maana anajua kitakachoteka na teuzi atakuwa akizisoma kwenye mitandao baada ya uchaguziMwingine nani kachukua?
Huyu si alisema kwamba urais kazi ngumu analala na mafaili kibao na angejua ugumu wa kazi hiyo asingeomba,SASA INAKUWAJE AMECHUKUA FORM TENA? Huku Lumumba Je wengine wameruhusiwa kuchukua form? MEMBE NAYE KACHUKUA?Huo ndiyo ukweli, tena wa heri. Rais na Mwenyekiti wangu wa CCM Taifa Dr. John P. Magufuli leo 'amenyakua' fomu ya 'kuchukua' tena Urais kupitia CCM. Kila mtanzania anajua kuwa tayari Dr. Magufuli 'ameshapitishwa' kimaneno na kivitendo kuwa mgombea Urais wa CCM kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Hata TLP ya Mrema imempitisha. Leo hakuchukua fomu ya kuomba kugombea.
Angekuwa amechukua, kama ilivyo kwa watani zetu CHADEMA, basi makada wengine wa CCM wangejitokeza na kuchukua. Wenye sifa za Urais ndani ya CCM wamejaa tele kuliko mchele. Lakini, hakuna mwenye uthubutu hata kiduchu wa kuja hapa Makao Makuu ya CCM Dodoma kuchukua fomu. Ni kama fomu ya kugombea Urais ndani ya CCM ilichapishwa moja tu kwa ajili ya Dr. Magufuli. CCM tumekubali utaratibu umeze matakwa ya Katiba na Kanuni zetu za CCM.
Maneno na matendo ya watoa-fomu yanakataza kusogelea chumba cha kuchukulia fomu. Macho yao yanaogopesha makada kujitokeza na kuomba fomu za Urais. Ilipaswa Dr. Magufuli aanze kupimwa ndani ya chama kuhusu kukubalika kwake. Angepimwa na makada wengine juu ya kwanini yeye apewe bendera ya CCM uchaguzini katika nafasi ya Urais. Angepita au kutopita kidemokrasia. Haipo hivyo. Haikuwa hivyo. Haitakuwa hivyo.
Kwanini tushupalie demokrasia kwa watani zetu (vyama vya upinzani) huku demokrasia chamani mwetu ikiminywa? Nani tunamtapeli ikiwa ukweli ni kuwa hautakiwi upinzani ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais?
Uchaguzi huu utaingia kwenye maajabu ya dunia!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dodoma
Huyu si alisema kwamba urais kazi ngumu analala na mafaili kibao na angejua ugumu wa kazi hiyo asingeomba,SASA INAKUWAJE AMECHUKUA FORM TENA? Huku Lumumba Je wengine wameruhusiwa kuchukua form? MEMBE NAYE KACHUKUA?
Tunao hawoo mzeeeMiaka 60 kwa Tanzania kutawaliwa na watu wa Kariba na mtizamo mmoja Ni mingi sana na inatosha...........
Hawa wakiendelea hivi watu wataanza kutafuta alternatives...........
Na hiyo ndio mbaya zaidi
Katiba ya chama inasema urais ni miaka 10!Ccm nyie ni unafiki tu unawasumbua mwaka 2010 uliona Kikwete alichokifanya kwa waliotaka kumchalenge? hamjawahi kuwa serious hata kidogo.