Mwenyekiti wa CCM hataki kura za "MASHETANI"?!

Huyu anayeua vijana wetu bila kosa lolote kwa kutumia vikosi vya wahuni na wengine wanalawitiwa ndiye anaita wengine ni watumishi wa shetani? Aendelee kumkejeli Mungu tu na li-ushungi lake, kuna siku Mungu ataonyesha ukuu wake.
 
huyu mama kuna mtu anamdanganya sana sasa amefika mwisho nadhani
 
Yes,
wapo maaskofu, mitume na manabii wa uongo humu nchini, Lakini pia wapo maaskofu wazinifu mpaka kufikia hatua ya kurikodi anavyonyandua waamini wake na kuwaambukiza ukimwi kwa makusudi.

Je, askofu kama huyo sio jasusi wa shetani kweli gentleman?🐒
 
Hehehe aise ile ilimchoma sana nadhani na kale ka mfano ka mwanae mpendwa kwamba akikutwa katobolewa macho ingekuwaje hehehe gwajiboy na yeye mbona alitoa mifano mikali sana,sasa atakula mipasho mikali mpaka anyooshe mikono.
 
Vipi mbona Yule Mnyakyusa humtaji? Au kwasababu mlikua nae Juzi kwenye NEC? Anauzia Watu maji na kwenda kujenga hotel Mbeya? Jitahidi Sana kuficha upumbavu wako
 
Hehehe aise ile ilimchoma sana nadhani na kale ka mfano ka mwanae mpendwa kwamba akikutwa katobolewa macho ingekuwaje hehehe gwajiboy na yeye mbona alitoa mifano mikali sana,sasa atakula mipasho mikali mpaka anyooshe mikono.
KAZI imekua ngumu it's like Hilo joka limezunguka kila mahali
 
Reactions: 7ve
Hii ni hoja tofauti kabisa na inayozungumziwa na huyo Samia.
Kwa nini usingemshauri azungumzie haya uliyoibua wewe katika hafla hiyo; na pengine angeeleweka vizuri zaidi!

Na kwa nini aibue haya wakati huu ambapo yeye na utawala wake wanaendesha "ushetani" ndani ya nchi hii; ambao kwa bahati, hao "mashetani" anaowashutumu yeye wameyakemea?

Wewe umemsikia mahali popote akikemea waTanzania kutekwa , kupotezwa na kuuawa,... kuna "ushetani" mkubwa kuzidi huo?
Au wewe unasema kwamba yeye hajawahi kusikia uwepo wa matukio kama hayo?
 
Kigezo kipi katumia kujua hilo la ushetani
 
KKKT kanisa langu leo wametoa boko
 
Lutheran Kuna jukwaa la kusapoti maneno haya?
Mbona kkkt sehemu nyingi wanapinga utekaji na hawawapingi watumishi wa Mungu?
Mkuu wa kkkt yupo?
OK,
Basi tutafute mahali pa muombaji wa kweli tuone nani ataanguka mapepo...
Tunafundishwa tusipambane na watumishi wa Mungu ngoja kidogo tuone.
 
Anataka damu za watanganyika tu hapo, akubali kuweka mifumo ya haki ili tumuamini kwa maneno yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…