Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM, Ikulu Chamwino

Tunataka kuona matokeo chanya ya hivyo vikao kwenye maisha ya wakulima na watu wa hali ya chini na sio matajiri na Wafanyabiashara wakubwa.

Hiyo ndio CCM ya Karume na Nyerere.
Hao watu wa chini wanapaswa kupaza sauti za ili changamoto zao zifanyiwe kazi. Hii tabia yao ya kukaa kimya na kusubiri kusemewa ndiyo hupelekea wanaowasemea kuitwa wachochezi. Changamoto zitakazofanyiwa kazi ni watakaoongea.
 
Wewe kijana jikite kwenye uzi wa ccm , ndio maana mnachekwa kila mahali

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Basi sawa
 
Kuhusu Kinana, yajayo yatahuzunisha familia yake. Sie kwetu shangwe tu. Ukiua wetu mmoja, tunang'oa wako elfu moja dadeki!
 
Tunataka kuona matokeo chanya ya hivyo vikao kwenye maisha ya wakulima na watu wa hali ya chini na sio matajiri na Wafanyabiashara wakubwa.

Hiyo ndio CCM ya Karume na Nyerere.
Nasikia ni mkakati wa kubuni kuongeza tozo baada ya ile ya stoo za wafanyabiashara wa kariakoo kubuma.

Tozo iliyobuniwa ni kulipia mifugo yote, inayoliwa na isiyoliwa kama ile ya ulinzi yaani paka na mbwa.
 
Kugombania keki. [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…