Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Ana changamoto ya afya.Makamu wa rais sio mjumbe wa kamati kuu?! Simuoni kwenye picha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana changamoto ya afya.Makamu wa rais sio mjumbe wa kamati kuu?! Simuoni kwenye picha.
Mbona hatari. Lakini jana alikuwepo chamwino.Ana changamoto ya afya.
Hao watu wa chini wanapaswa kupaza sauti za ili changamoto zao zifanyiwe kazi. Hii tabia yao ya kukaa kimya na kusubiri kusemewa ndiyo hupelekea wanaowasemea kuitwa wachochezi. Changamoto zitakazofanyiwa kazi ni watakaoongea.Tunataka kuona matokeo chanya ya hivyo vikao kwenye maisha ya wakulima na watu wa hali ya chini na sio matajiri na Wafanyabiashara wakubwa.
Hiyo ndio CCM ya Karume na Nyerere.
Acha uongo ndugu
Sasa hizi ndio nyuzi ambazo wanaccm wa jf (buku 7 fc) wanapaswa kuhangaika nazoMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM ambae ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika tarehe 21 Mei, 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
View attachment 2630035View attachment 2630037View attachment 2630039
Wewe kijana jikite kwenye uzi wa ccm , ndio maana mnachekwa kila mahaliChadema huwa hawana matamko ya vikao kila mwana Chadema ni msemaji wa Chama God bless lema anaita kazi ya bodaboda laana mwenyekiti Mbowe na Lisu wanasindikizwa na bodaboda na kuheshimu boda boda
Mbowe anaongelea na kuheshimu Maridhiano Lisu anaita maridhiano hayana maana
Lisu anasema Katiba Mpya ndio agenda muhimu Mbowe anasema tunahitaji maridhiano ya kitaifa
Chadema Taifa hakitangazi maandamano ya kutaka wabunge wa Chadema walioko Bungeni waondoke Bawacha yenyewe inajiamulia kuingia barabarani kivyake
Yaani Chadema kwa sasa haiko organised kabisa haina Central voice kila anayejisikia kubweka chochote anabweka tu
Basi sawaChadema huwa hawana matamko ya vikao kila mwana Chadema ni msemaji wa Chama God bless lema anaita kazi ya bodaboda laana mwenyekiti Mbowe na Lisu wanasindikizwa na bodaboda na kuheshimu boda boda
Mbowe anaongelea na kuheshimu Maridhiano Lisu anaita maridhiano hayana maana
Lisu anasema Katiba Mpya ndio agenda muhimu Mbowe anasema tunahitaji maridhiano ya kitaifa
Chadema Taifa hakitangazi maandamano ya kutaka wabunge wa Chadema walioko Bungeni waondoke Bawacha yenyewe inajiamulia kuingia barabarani kivyake
Yaani Chadema kwa sasa haiko organised kabisa haina Central voice kila anayejisikia kubweka chochote anabweka tu
Kinana hayupo hapo!Namuona komredi Kinana na bakakhashia yake hapo.
Rais wa Zanzibar kasafiri kwenda Qatar ambaye sijui kwa nini hayupo ni mzee Mpango. Kinana alikuwa ziarani Vietnam huyo mwenye baraghashia ni Chongolo katibu mkuu wa chamaBasi nitakuwa nimemfananisha na huyo jamaa hapo kavalia barakhashia kama lake vile. Na Rais wa Nzanzibar je si mjumbe wa hiki kikao?
Hahahahahaaaaaa!THE HARD WORK OF ONLY ONE MAN !!
REST IN FOREVER PEACE
Bila ya kupigwa Chini Mwigulu hakuna suluhisho.naamini changamoto ya TRA na wafanyibiashara imetoka na suluhisho muafaka I guess kutakua na mabadiliko TRA
Viongozi wa nchi hii mungu awajalie afya njemaAna changamoto ya afya.
Mtu masikini anashangilia nchi kuwa na maikulu mawili na ofisi mbilimbili.gharama la kulitoa slanging moja dom na kurudi dar ni pesa nyingi sana mara mwezi???Hakuna ubishi wametumia vyema kodi za watanzania kujenga jengo hili. Hakuna ubishi
View attachment 2630570
Nasikia ni mkakati wa kubuni kuongeza tozo baada ya ile ya stoo za wafanyabiashara wa kariakoo kubuma.Tunataka kuona matokeo chanya ya hivyo vikao kwenye maisha ya wakulima na watu wa hali ya chini na sio matajiri na Wafanyabiashara wakubwa.
Hiyo ndio CCM ya Karume na Nyerere.
Amerudi kwenye mfumo. India haendi tena.Namuona komredi Kinana na bakakhashia yake hapo.
Kugombania keki. [emoji23][emoji23]Chadema huwa hawana matamko ya vikao kila mwana Chadema ni msemaji wa Chama God bless lema anaita kazi ya bodaboda laana mwenyekiti Mbowe na Lisu wanasindikizwa na bodaboda na kuheshimu boda boda
Mbowe anaongelea na kuheshimu Maridhiano Lisu anaita maridhiano hayana maana
Lisu anasema Katiba Mpya ndio agenda muhimu Mbowe anasema tunahitaji maridhiano ya kitaifa
Chadema Taifa hakitangazi maandamano ya kutaka wabunge wa Chadema walioko Bungeni waondoke Bawacha yenyewe inajiamulia kuingia barabarani kivyake
Yaani Chadema kwa sasa haiko organised kabisa haina Central voice kila anayejisikia kubweka chochote anabweka tu
Atakuwa anashughulikiwa kwa kosa la kufurahia kifo cha kipenzi cha watu.Kinana hayupo hapo,atakuwa anapambania uhai wake kitandani .
Possible, taarifa ya habari leo kuna sehemu alitakiwa kuhudhuria, hotuba yake imesomwa na mwakilishi.Ana changamoto ya afya.