Kijukuu cha ngoyayi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 3,358
- 6,667
Namchukia nyerere kwa kutujengea misingi ya woga ila kimsingi kwny hili ilifaa tufanye kitu km taifa ili wasijue sisi ni chupi zao
Wangesema wametangaza watu kwenda kuchukua form za uraisAnashindana na kivuli chake mwenyewe na ndiyo maana matokeo tayari yapo INEC atatangazwa kushinda kwa 99.8%
Hamna kitu hapoSubiri karatasi ya kura utamuona
Ahaha kosa lipo wapi hapo?Tunakupenda sana kijana , in short wazirii innocent bashungwa amewapa rungu police department ya DORIA MITANDAONI so be alarmed 😧
Endelea kusema ivyo ivyo na hamia Facebook, Instagram, X, peleka huu ushujaa wako KULE nenda kajifanye una FREE MIND.Acha woga wa kipumbavu
Tuzidi kupambanaSalimu Mwalimu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wahuni katika ubora wao!!
hawatuhusu gentleman,Madokta kama madokta...Hiyo Dr ingekua inatumika tu kwa mtu aliyeenda shule.Mbona kwa wenzetu husikii Dr Trump🤔
Hamna kitu ndio nini hiko?Hamna kitu hapo
Acha hizo gentleman..Samia ana astashahada halafu aitwe daktari!,hii inaniuma hakihawatuhusu gentleman,
na wala hatuna haja nao kwenye mambo yetu huru 🐒
Utakuwa weweMshindani wake nani sasa?
We ndiyo kivuli, wagombea mpaka sasa wako 14. Nyie mambwa nyumbu mnafikiri mgombea wenu ndiyo mtu? Mbn 2020 aligaragazwa? Nyie ni malalamiko campAnashindana na kivuli chake mwenyewe na ndiyo maana matokeo tayari yapo INEC atatangazwa kushinda kwa 99.8%
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Wewe una elimu gani?Acha hizo gentleman..Samia ana astashahada halafu aitwe daktari!,hii inaniuma haki
we uligombea ukasahau tarehe ya uchaguzi?Uchaguzi ndani ya CCM umefanyika wapi?
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Waoga wanakufa mara elfu bali shujaa anakufa mara moja tu.Tunakupenda sana kijana , in short wazirii innocent bashungwa amewapa rungu police department ya DORIA MITANDAONI so be alarmed 😧
Luhaga Mpina wa Act wazalendo mshindani wake nani pia?Mshindani wake nani sasa?
Nina PhD ndio maana nachachamaa..Haiwezekani nimeingia kuteseka darasani halafu mtu anaitwa kama mimi.Wewe una elimu gani?