GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa habari za mwenyekiti wa ccm inakuaje zinarushwa kwenye akaunti ya ikulu Tanzania?
 
Kote huko nipo na naendeleza ushujaa...

Acha kutushia watu wazima nyau mkuu hapo juu mwachiluwi kaandika nini cha kumfanya atishike...

Ndo maaan nikakuambia acha woga wa kijinga mzee utaogopa hata kusema mimi ni Chadema sasa kama ndo umefikia huko
Umenikumbusha kipindii cha mwendazake hofuu ilikua kubwa SANAAAAAA 🤓

Mwachiluwii ni mdogo angu hata nje ya Jf so nilikua namkumbusha TU kwa nia njema kabisa.
 
slow slow tusbiri press yake tu jioni --- wekeni bando mapema ndugu watanzania 😁 mpelampela wa kuelekea oktoba ndo unaanza rasmi leo

it's gonna be a bumpy ride --- kwa hisani ya mabeberu
 
slow slow tusbiri press yake tu jioni --- wekeni bando mapema ndugu watanzania 😁 mpelampela wa kuelekea oktoba ndo unaanza rasmi leo

it's gonna be a bumpy ride --- kwa hisani ya mabeberu
mdogomdogo Jahazi linatweka
 
Miye nafikiria bajeti ya uchaguzi tuipeleke kwenye sehemu za uhitaji wa zahanati nchini kwani ccm wanaendana shindana na nani tuwe wawazi tu au ndio kuchezea pesa ya umma
Kwani toka vyama vingi vianze CCM waliwahi kushindana na nani na wakashindwa?
 
Kwa sababu ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shighuli zake zote anazofanya huripotiwa
Na ambapo ccm wenyewe kama chama hawajaona umuhimu wa kurusha tukio hilo. Sasa mbona hajatumia gari la serikali ilhali bado ni Rais?
 
Back
Top Bottom