GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwahiyo katufanya Watanganyika wote wapumbavu wakubwa?
kwa kuwa nchi si km zile hadithi zako za abunuwasi hakuna nchi uliyoitaja ktk ramani ya dunia. Au kwa vile mmeshindwa kupata ushindi ktk nchi halisi inayoitwa Tanzania mnajitengenezea nchi yenu ya kinadharania na ya kudhania? We kwl ni bwege
 
Fuatilia kwa makini uchukuaji wa fomu kupitia hapa Jamii Forum


View: https://www.youtube.com/live/L4i1VI5410Y?si=GWven3_LL89ePjpO

TANZANIA INAVYAMA 19 VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU

Chama Cha Mapinduzi (CCM)
– Chama tawala na chenye ushawishi mkubwa tangu 1977, kilichoundwa baada ya muungano wa TANU na ASP

2. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Chama kikuu cha upinzani, chenye msimamo wa katikati-kushoto na ujumuishi wa demokrasia ya kiuchumi

3. Alliance for Change and Transparency (ACT–Wazalendo) – Chama kipya cha mrengo wa kushoto, kinapigia demokrasia na uwazi, na ni chama cha pili kwa nguvu Zanzibar

4. Civic United Front (CUF) – Chama kilicho na umaarufu hasa Zanzibar; hujivunia msimamo wa uhuru wa Zanzibar na uliberali
5. NCCR–Mageuzi – Chama cha upinzani kilicho na msimamo wa kijamii-demokratiki, kimeanzishwa 1992
6. Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) – Chama kijicho kilichofanya siasa tangu 2013 kinacholenga kukuza uchumi na kupunguza ukosefu wa ajira

Pia kuna vyama vingi vingine vidogo, ambavyo vimeorodheshwa kama vyama vinavyosajiliwa lakini kwa muda mrefu havijawahi kuwa na uwakilishi bungeni. Miongoni mwao ni:

  • Tanzania Democratic Alliance (TADEA)
  • Alliance for Democratic Change (ADC)
  • Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP)
  • Union for Multiparty Democracy (UMD)
  • United People’s Democratic Party (UPDP)
  • National Reconstruction Alliance (NRA)
  • Democratic Party (DP)
  • United Democratic Party (UDP)
  • National League for Democracy (NLD)
  • Sauti ya Umma (SAU)
  • Popular National Party (PONA)
  • Progressive Party of Tanzania–Maendeleo (PPT-M)
 
Luhaga Mpina wa Act wazalendo mshindani wake nani pia?
Luhaga MPINA NI CCM B wenye akili tumeshituka LUHAGA MPINA AMEKUJA KUTUHADAA WATANZANIA/ WATANGANYIKA REFER BENARD MEMBE SAGA..

ILI KURA YAKO IBAKIE SALAMA NI KUBAKI NAYO MWENYE_ QUOTED FROM ASKOFU BAGONZA
 
Luhaga MPINA NI CCM B wenye akili tumeshituka LUHAGA MPINA AMEKUJA KUTUHADAA WATANZANIA/ WATANGANYIKA REFER BENARD MEMBE SAGA..

ILI KURA YAKO IBAKIE SALAMA NI KUBAKI NAYO MWENYE_ QUOTED FROM ASKOFU BAGONZA
nasikitika hamkuliona Hilo kwa Lowassa
 
We mwehu huwezi kuona wala kusikia? Wagombea wako zaidi ya 14 watakaochagua ni watanzania. Nyie mambweha mkapige kura zenu humu JF
Nyie ndio wehu ambao mnaenda hatua kumi mnarudi hatua nane nakujipongeza nakusahau hatua mbili mlizopoteza

Mwachieni tundu Lisu aje andelee na mikutano yake ya no reform no election
 
Endelea kusema ivyo ivyo na hamia Facebook, Instagram, X, peleka huu ushujaa wako KULE nenda kajifanye una FREE MIND.

Peleka huu ushujaa wako KULE chap chap utapelekwa ile safari ambayo watu wakiendaga Huwa hawarudii
Kote huko nipo na naendeleza ushujaa...

Acha kutushia watu wazima nyau mkuu hapo juu mwachiluwi kaandika nini cha kumfanya atishike...

Ndo maaan nikakuambia acha woga wa kijinga mzee utaogopa hata kusema mimi ni Chadema sasa kama ndo umefikia huko
 
Back
Top Bottom