GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jamani naipenda serikali ya awamu ya 6 chini ya Dr Samia Suluhu Hassan 🇹🇿 👏 👏 👏
 
Endelea kusema ivyo ivyo na hamia Facebook, Instagram, X, peleka huu ushujaa wako KULE nenda kajifanye una FREE MIND.

Peleka huu ushujaa wako KULE chap chap utapelekwa ile safari ambayo watu wakiendaga Huwa hawarudii
Wewe hiyo safari hutaenda?
 
Back
Top Bottom