Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Wasipojitokeza basi atakuwa peke'ake na hilo halina tatizo kwetu watanzania. Si tunachotaka awepo tu.Mshindani wake nani sasa?
Wasipojitokeza basi atakuwa peke'ake na hilo halina tatizo kwetu watanzania. Si tunachotaka awepo tu.Mshindani wake nani sasa?
Mkuu mimi jana nimerudia kuangalia mkutano ule wa mwezi january. Ni wao ndo waliamua hivyo, iwe kwa kulazimishwa au kwa hiari hiyo wanajua wao maana walivyo ulizwa nani anapinga azimio hakukua na mtu aliyepingaNashangaa sababu navyojua chama huanza kutoa form alafu mgombea au wagombea huchukua hujaza alafu baadae chama kinampitisha, alafu ndio mgombea anasubiri time ianze kutoa form akachukue
Hii mwaka huu imekuwaje ccm wsmeruka yote hayo, mgombea anaibukia kuchukua form ya time moja kwa moja?
Ukiona kwa Jirani ulinzi ni mkali inamaanisha kwako usalama ni mdogoNingekuwa ndiyo Yeye kwakuwa najiamini Watanzania wananipenda sana na nina Chawa wengi ningeenda peke yangu.
LOGIC IS A STUDY OF REASONING.Sasa habari za mwenyekiti wa ccm inakuaje zinarushwa kwenye akaunti ya ikulu Tanzania?
Kina chawa walisema Polepole apuuzwe na wengine wakaenda mbali zaidi wakasema britanicca apuuzwe.Ningekuwa ndiyo Yeye kwakuwa najiamini Watanzania wananipenda sana na nina Chawa wengi ningeenda peke yangu.
Maigizo!Uchaguzi au nomination?
Mimi nilikua na mshauri mwachiluwii ambae ni mdogo wangu na tunajuana mpaka nje ya humu JF so jamaa akaanza kunibeza na KUSEMA maneno mbofu mbofu ndio nikamwambia aende kwenye viunga vya Facebook, x, Instagram na mitandao mingine maana kwa Sasa Kuna DORIA MITANDAONIAcha watu waongee. Hata wao watakufa. Mbona unamwabudu binadamu kiasi hicho. Kisa Nini?.
Unadhani mwachiluwii hajui mshindani??? Wake 😂😂😂 Mwachiluwi njoo hapa ujibu mwenyeweKwahiyo kuuliza "mshindani ni wake ni nani?" nalo ni kosa.?
Hiyo safari ni ya muhimu na ni ya Kila mmoja wetu.Wewe hiyo safari hutaenda?
Mngemfungulia Lissu kwanza ndio mtamke hayo maneno.Ninavyoona mimi chadema wamefeli mpakq hapa,ccm wamewin 99%
Chadema hesabu mmezidiwa na nguvu
Mnakumbuka ile TV Show iitwayo TYRANT? Ndio kama hivi sasa..Maigizo!
Great thinker mwenye access na habari nyingi mitandaoni anauliza swali la namna hiyo halafu tusimshangae?Kwahiyo kuuliza "mshindani ni wake ni nani?" nalo ni kosa.?
Wakati NCCR ikiwa juu Chadema ilikuwa wapi?Kushindana na Chauma?
(Chama cha ujinga na Mavi)