DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,138
- 11,989
Hilo takle wapelekee wengine mi silitaki, itafika time uzalendo utanishinda nitalikula..Mama yako mzazi anayajua hayo
Hilo takle wapelekee wengine mi silitaki, itafika time uzalendo utanishinda nitalikula..Mama yako mzazi anayajua hayo
your argument is useless gentleman and my friend,Acha hizo gentleman..Samia ana astashahada halafu aitwe daktari!,hii inaniuma haki
Unatukana Baba yako mzaziHilo takle wapelekee wengine mi silitaki, itafika time uzalendo utanishinda nitalikula..
Wachanganyikiww hawa, laana tupu wamejaaKwahiyo kuuliza "mshindani ni wake ni nani?" nalo ni kosa.?
Acha kulia lia wewe. Huyo jamaa hatukani hadi umuanze. Vumilia tu matusi hayaui wala kuumiza🤣
Hii ni dunia ni yakwao huna uwezo wa kuwakataa miaka yote ya uchaguzi ndiyo wanatoa pesa za kuendesha uchaguzi, Tanzania inasaidiwa mpaka chupi na wazungu.....kaa kimya tuObservers wana role gani katika kuhakikisha tunapata kiongozi wetu?
Sisi tulipeleka observers kwenye uchaguzi wa Trump?
sio kwa wazaz wangu.Acha kulia lia wewe. Huyo jamaa hatukani hadi umuanze. Vumilia tu matusi hayaui wala kuumiza🤣
Just take easy mkuu. Usichukulie kila jambo personal. Humu masihara na utani ni mwingi sana. Jitahidi kuepuka na kupuuzia mambo, makasiriko ni sumu kwa afya ya mwili na akili yako.sio kwa wazaz wangu.
Kweli Siasa ni Sayansi, kama mchezo Chadema imefungiwa kufanya Siasa hadi kesi yao ya mgawanyo wa Mali itakapoamuliwa.
Wakati huo huo Mwenyekiti wake, Bwana Tundu Lissu yupo Mahabusu miezi mitano hii inaelekea Kwa kesi ya Uhaini 🙌
Samia, anaenda kuvunja rekodi ya mtangulizi wake hayati JPM kwenye huo Uchaguzi
Yeye atakwenda kushinda Kwa asilimia 99.5 huku ACT akienda kuambulia hiyo asilimia 0.5 iliyobaki
Maana hakuna tena Ushindani wa Chadema Mwaka huu
Wajinga ni wengi.Kuna ambao wanamponda salum mwalimu kua hawezi kua rais wakati huo huo wanasahau kua alishawai kua mgombbea mwenza wa Lissu kwenye uchaguzi wa 2020.Kwao mtu anayefaa ni akiwa upande wao tu akiwa kwingine hapo hapo anageuka hafai.Chadema wamejitoa kushiriki uchaguzi uku wakiwa hawaelewi mikakati gani itakiongoza chama wamebaki kujazana ujinga mitandaoni uku wenzao wakiendelea na maandalizi ya uchaguzi.We ndiyo kivuli, wagombea mpaka sasa wako 14. Nyie mambwa nyumbu mnafikiri mgombea wenu ndiyo mtu? Mbn 2020 aligaragazwa? Nyie ni malalamiko camp
mwanaCCM yupi huyo?Wana CCM ndio wanalalama Mwenyekiti wao adichukue fomu. Hivyo usituingize Watanganyika kwenye ugomvi wa Wana CCM
Hatujaelewana, mm sizungumzii yeye kupitishwa. Nazungumzia ccm kutoa form. Najiuliza imekuwaje ccm haijatoa form ya uraisi?Mkuu mimi jana nimerudia kuangalia mkutano ule wa mwezi january. Ni wao ndo waliamua hivyo, iwe kwa kulazimishwa au kwa hiari hiyo wanajua wao maana walivyo ulizwa nani anapinga azimio hakukua na mtu aliyepinga
(Huu ndo polepole anauita uhuni)
Pole pole ni nani nchi hii ili amzuie rais aliyeko madarakani kufanya ambalo liko ndani ya mamlaka yake na haki yakikatiba.Yule polepole ni mwehu anayetakiwa kuwahi mirembe au ana ujjinga wake mwingine unaomtafuna.Mageuzi hayafanyiki kijinga vile kwakuwabwaja bwabwaja kama kichaa.Anayemuamini na kumtilia maanani atakua na shida yakufikiri.Kwahiyo kampuuza Polepole? 😹
Haijatoa fomu kwa sababu imewapitisha SSH NA MWINYI kuwa wagombea wao, na wakasema haina haja ya fomu. Huu ni utaratibu wa ndani na wao ndo wenyewe , ndo wakaja na azimioHatujaelewana, mm sizungumzii yeye kupitishwa. Nazungumzia ccm kutoa form. Najiuliza imekuwaje ccm haijatoa form ya uraisi?
Wewe hujatoa jibu sahihi, Kinachoanza ni mtu kuchukua form, alafu ndio mkutano mkuu wa kumpitisha unakuja baadae.Haijatoa fomu kwa sababu imewapitisha SSH NA MWINYI kuwa wagombea wao, na wakasema haina haja ya fomu. Huu ni utaratibu wa ndani na wao ndo wenyewe , ndo wakaja na azimio