GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hongera rais wetu Dr Samiah Suluhu Hassain kwa hatua hii. Watanzania tupo nyuma yako,wewe ndiye dira na mwongoza njia. Mungu akupe maisha marefu
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Msafara wa Magari yaliyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Samia Suluhu Hassan wakati akielekea kuchukua fomu kwenye Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

Rais Samia ametumia dakika 27 tangu alipoingia ndani ya ofisi za INEC na alipotoka alikuwa ameongoza na mgombea mwenza, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuber Ali Maulid na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda.

Nje ya ofisi hizo, wagombea hao wakiwa na begi jeusi lililoandikwa “Fomu za Uteuzi”, walipiga picha na makundi tofauti ya makada kabla ya kuondoka.

Mimi siwezi kuongea kwa niaba ya kila mtu, nitajisemea mwenyewe. Mweshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, mimi nilikuwa moja wapo ya watanzania waliokuwa na matumaini na wewe ulivyoapishwa kuwa rais wetu na kwa ukweli kama mtoto wa kike ulinionyesha kuwa na sisi wanawake tunaweza lakini kitu ambacho kilinisikitisha na kunifanya nisiwe na imani na serikali yako ni baada ya Rais Magufuli kufa watu wengi wenye kashfa za ufisadi na ukatili wa hali ya juu (allegedly) kurudishwa kwenye chama na serikali. Rais Magufuli hakuwa malaika, alikuwa binadamu, lakini kitu alichotusaidia kweli na kilichotuonyesha ana nia njema na nchi hii ni mafisadi inaonekana waliwekwa kando kabisa na hali ya maisha kwa mtazamo wangu ilikuwa nafuu -- tulipumua -- aliwaonyesha matapeli nani ndio rais wa Tanzania -- wananchi wa kawaida walikuwa na uwezo wa kuanza kuwa na ndoto za maisha yao tena.

Kila la kheri na chama chenu na mipango yenu. Watanzania tumepitia mengi na tutaendelea kuwa survivors.

Invictus -- William Ernest Henley

Out of the night that covers me,
Black as the pit from pole to pole,
I thank whatever gods may be
For my unconquerable soul.

In the fell clutch of circumstance
I have not winced nor cried aloud.
Under the bludgeonings of chance
My head is bloody, but unbowed.

Beyond this place of wrath and tears
Looms but the Horror of the shade,
And yet the menace of the years
Finds and shall find me unafraid.

It matters not how strait the gate,
How charged with punishments the scroll,
I am the master of my fate,
I am the captain of my soul.
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Msafara wa Magari yaliyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Samia Suluhu Hassan wakati akielekea kuchukua fomu kwenye Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

Rais Samia ametumia dakika 27 tangu alipoingia ndani ya ofisi za INEC na alipotoka alikuwa ameongoza na mgombea mwenza, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuber Ali Maulid na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda.

Nje ya ofisi hizo, wagombea hao wakiwa na begi jeusi lililoandikwa “Fomu za Uteuzi”, walipiga picha na makundi tofauti ya makada kabla ya kuondoka.

Suti nyeusi ni nyingi kuliko nguo za kijani...

Tulikuwa tunasoma mazingira leo ni kama kila mjumbe wa halmashauri kuu yuko chini ya Ulinzi.

Ila uzuri Samia ameanza kuchechemea
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Msafara wa Magari yaliyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Samia Suluhu Hassan wakati akielekea kuchukua fomu kwenye Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

Rais Samia ametumia dakika 27 tangu alipoingia ndani ya ofisi za INEC na alipotoka alikuwa ameongoza na mgombea mwenza, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuber Ali Maulid na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda.

Nje ya ofisi hizo, wagombea hao wakiwa na begi jeusi lililoandikwa “Fomu za Uteuzi”, walipiga picha na makundi tofauti ya makada kabla ya kuondoka.

Muda huu taratibu anajinyea nayamkaukia matakoni sio nyomii hii
 
Luhaga MPINA NI CCM B wenye akili tumeshituka LUHAGA MPINA AMEKUJA KUTUHADAA WATANZANIA/ WATANGANYIKA REFER BENARD MEMBE SAGA..

ILI KURA YAKO IBAKIE SALAMA NI KUBAKI NAYO MWENYE_ QUOTED FROM ASKOFU BAGONZA
Kisa hajaamia chadema ndo mana unasema n ccm b 😂 Ila mwanzo hamkusema hayo

Subirini mshangazwe na polepole ili akili zenu zikae vzr zaidi
 
Anaenda kushindana na salumu mwalimu .
Hao observers kutoka nje sidhani kama watakuja kwenye UJINGA huu
Observer hawaji kuwachagulia wagombea.kwahiyo wewe kama mgombea wako hayupo hiyo ni shida yako sio ya observers.
 
Nina PhD ndio maana nachachamaa..Haiwezekani nimeingia kuteseka darasani halafu mtu anaitwa kama mimi.
Blood, sweat, and tears kwa kweli. But don't be discouraged -- kila mtu ana maisha yake na efforts za kila mtu Mungu anaziona. Yeye ana udaktari wake na wewe unawakwako.
 
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Msafara wa Magari yaliyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Samia Suluhu Hassan wakati akielekea kuchukua fomu kwenye Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)

Rais Samia ametumia dakika 27 tangu alipoingia ndani ya ofisi za INEC na alipotoka alikuwa ameongoza na mgombea mwenza, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuber Ali Maulid na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda.

Nje ya ofisi hizo, wagombea hao wakiwa na begi jeusi lililoandikwa “Fomu za Uteuzi”, walipiga picha na makundi tofauti ya makada kabla ya kuondoka.

Ni hadaa kwa Watanzania!
 
Leteni ambaye siyo Ccm B acheni kulalamika. Wenzio chadema wameamua kujitoa kabisa wanasubiri mabadiliko yaletwe na CCM.
Wamejitoa alafu kila kitu wao nikulalamika tu.Kwa akili zao walifikiri watabembelezwa.
 
Mimi siwezi kusema ya kila mtu, nitajisemea mwenyewe. Mweshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, mimi nilikuwa moja wapo ya watanzania waliokuwa na matumaini na wewe ulivyoapishwa kuwa rais wetu na kwa ukweli kama mtoto wa kike ulinionyesha kuwa na sisi wanawake tunaweza lakini kitu ambacho kilinisikitisha na kunifanya nisiwe na imani na serikali yako ni baada ya Rais Magufuli kufa watu wengi wenye kashfa za ufisadi na ukatili wa hali ya juu (allegedly) kurudishwa kwenye chama na serikali. Rais Magufuli hakuwa malaika, alikuwa binadamu, lakini kitu alichotusaidia kweli na kilichotuonyesha ana nia njema na hii nchi ni mafisadi inaonekana waliwekwa kando kabisa na hali ya maisha kwa mtazamo wangu ilikuwa nafuu -- tulipumua -- aliwaonyesha matapeli nani ndio rais wa Tanzania -- wananchi wa kawaida walikuwa na uwezo wa kuanza kua na ndoto za maisha yao tena.

Kila la kheri na chama chenu na mipango yenu. Watanzania tumepitia mengi na tutaendelea kuwa survivors.
Wale walikua ni mafisadi wa magufuli kwa maono yake,ulitaka na samia arithi mambo ambayo hakuyajua.Ndo maana ata huyo magufuli hadi anafariki ile mahakama ya mafisadi haikumfunga yoyote zaidi ya wengi wao kulipa pesa za plea bargaining.Kuna mambo yakupima kwa kiongozi kama elimu,afya,uchumi,utawala bora na usalama.Nadhani ukimpima hapo unaweza ukamhukumu vizuri kwa data bila hisia ukapata majibu je ameweza au kashindwa.
 
Hakujuaje ? -- alikuwa makamu wa rais na sio mtu mpya serikalini -- Ana ujuzi mwingi na ndio maana nilikuwa na matumaini makubwa nae.

Na kwenye uchapakazi hamna mtu anamfikia Magufuli -- unaweza kumsema mengi mengine lakini hilo la kazi hamna anayemfikia. Kama kuna mtu aliyeleta tangible results ambazo watanzania wenyewe tumeona -- bila kuambiwa na mtu yoyote -- ni Rais Magufuli.
 
Back
Top Bottom