comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Ndio maana
Ndio maana
CCM B na CCM C.Mshindani wake nani sasa?
Na wewe ni kuku jike unayetaka kutagaDua yako ni ya kuku jike
Urais ni taasisi,na kila mtu anamajukum yake.Kwa jinsi ulivyomuona magufuli ulimwona ni mtu wakushauriana na mtu?.Ilo la magufuli ni mawazo yako ila wako wengine hawamkubali.Kwahiyo usitumie hisia na mawazo yako binafsi kuhalalisha mtazamo wako uwe wa wote.cha msingi alifanya wajibu wake akapita na aliyefwata naye alifanya wajibu wake nayeye atapita watakuja wengine kwasababu nchi haiishi leo.Kila kiongozi ana namna yake ya kuongoza cha msingi ni je anatimiza yale ambayo ni haja ya nchi na wananchi.Hakujuaje ? -- alikuwa makamu wa rais na sio mtu mpya serikalini -- Ana ujuzi mwingi na ndio maana nilikuwa na matumaini makubwa nae.
Na kwenye uchapakazi hamna mtu anamfikia Magufuli -- unaweza kumsema mengi mengine lakini hilo la kazi hamna anayemfikia. Kama kuna mtu aliyeleta tangible results ambazo watanzania wenyewe tumeona -- bila kuambiwa na mtu yoyote -- ni Rais Magufuli.
Mpina na salum walioandaliwa kimkakati na sisiemu kujifanya washindani wakeMshindani wake nani sasa?
Ni obvious kuna watu wapo nyuma yakeHii mipango yote huyo demu haiwezi bila shaka hii ni script ya mkwele na team yake
Urais ni taasisi,na kila mtu anamajukum yake.Kwa jinsi ulivyomuona magufuli ulimwona ni mtu wakushauriana na mtu?.Ilo la magufuli ni mawazo yako ila wako wengine hawamkubali.Kwahiyo usitumie hisia na mawazo yako binafsi kuhalalisha mtazamo wako uwe wa wote.cha msingi alifanya wajibu wake akapita na aliyefwata naye alifanya wajibu wake nayeye atapita watakuja wengine kwasababu nchi haiishi leo.Kila kiongozi ana namna yake ya kuongoza cha msingi ni je anatimiza yale ambayo ni haja ya nchi na wananchi.
Hii nchi ni yetu sote nyau hao kwa hiyo sisi km wa tz kosa letu ni kuwa wapole au nn?Ni obvious kuna watu wapo nyuma yake
Yeye yupo hapo kama Rais lakini wanufaika na waliomweka ndiyo wamemchorea mchoro wote
Wamegundua CDM hii ya Lissu, Mama atapata ushindi hafifu wa kulazimisha wa asilimia 50.4 Kwa 49.6
Bora wawaondoe tu wasishiriki
Ndiyo maana hadi Chama kimezuiwa kufanya shughuli zozote za Siasa
Na hii utaenda hadi Uchaguzi upite
📌📌📌🔨🔨🔨 MamaeeeePunguza mihemko chawa mbobevu😎
Kinyume Cha aje bwashee? Mtasubiri Hadi 2030.Subiri emoji kuwa na miwani ikiwa kinyume chake.
Samia hagombei 😂😂😂😂😂Sasa kumekucha
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Msafara wa Magari yaliyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Samia Suluhu Hassan wakati akielekea kuchukua fomu kwenye Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)
Rais Samia ametumia dakika 27 tangu alipoingia ndani ya ofisi za INEC na alipotoka alikuwa ameongoza na mgombea mwenza, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuber Ali Maulid na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda.
Nje ya ofisi hizo, wagombea hao wakiwa na begi jeusi lililoandikwa “Fomu za Uteuzi”, walipiga picha na makundi tofauti ya makada kabla ya kuondoka.
Ninavyoona mimi chadema wamefeli mpakq hapa,ccm wamewin 99%
Chadema hesabu mmezidiwa na nguvu
Wazee wa Samia hatogombea wako wapi? 😆😆😆😆😆
Wakati NCCR ikiwa juu Chadema ilikuwa wapi?
Wakati CUF NGANGARI Ipo juu chadema ilikuwa wapi?