Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Nadhani ndiyo kitu wanachopanga kwasasa, japo kuna mtu alinidokeza kwamba huyo Bwana ataendelea kukaa Mahabusu hadi Uchaguzi upiteMungu asipo ingilia kati swala la lisu, Atahukumiwa kunyongwa, Aje atolewe kwa msamaha na Samia baada ya kua Rais.
Hii itamuondokea Sifa ya kuja kugombea kama Rais Siku za usoni
Ndiyo maana wameamua kutengeza trick ya kuficha mashahidi kisha baada ya Uchaguzi, DPP anasema hana nia ya kuendelea na kesi