GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

GE2025 Mwenyekiti wa CCM, Samia Suluhu achukua Fomu ya Urais Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.

Msafara wa Magari yaliyomsindikiza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM), Samia Suluhu Hassan wakati akielekea kuchukua fomu kwenye Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)


Rais Samia ametumia dakika 27 tangu alipoingia ndani ya ofisi za INEC na alipotoka alikuwa ameongoza na mgombea mwenza, Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Zuber Ali Maulid na Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda.

Nje ya ofisi hizo, wagombea hao wakiwa na begi jeusi lililoandikwa “Fomu za Uteuzi”, walipiga picha na makundi tofauti ya makada kabla ya kuondoka.

 
Wewe hujatoa jibu sahihi, Kinachoanza ni mtu kuchukua form, alafu ndio mkutano mkuu wa kumpitisha unakuja baadae.
Kinachoanza ni form, ikijazwa na kurejeshwa ndio mkutano mkuu hupangwa kufanyika ili kumpitisha mgombea
Kaka azimio ulilifatilia? --- wamekiuka taratibu na wao wamekubali kukiuka taratibu ili kupata wagombea wao


Mjumbe hauwawi mkuu-- mimi naeleza kilichotokea tu
 
Yaani namwona Kikwete na genge lake wakituongoza tena kwenye nchi yenye vipande vipande moyo wanchi ukiuma
 
Just take easy mkuu. Usichukulie kila jambo personal. Humu masihara na utani ni mwingi sana. Jitahidi kuepuka na kupuuzia mambo, makasiriko ni sumu kwa afya ya mwili na akili yako.
Ahsante kwa ushauri. Kituo cha Mwangaza kinakufaa sana na utasaidia mno kuliko humu JF
 
Ikimpendeza Mungu achukue na hawa wakamsaidie shetani kukusanya kuni za kuwashia moto wa jehanamu
 
Luhaga MPINA NI CCM B wenye akili tumeshituka LUHAGA MPINA AMEKUJA KUTUHADAA WATANZANIA/ WATANGANYIKA REFER BENARD MEMBE SAGA..

ILI KURA YAKO IBAKIE SALAMA NI KUBAKI NAYO MWENYE_ QUOTED FROM ASKOFU BAGONZA
Leteni ambaye siyo Ccm B acheni kulalamika. Wenzio chadema wameamua kujitoa kabisa wanasubiri mabadiliko yaletwe na CCM.
 
IMG_1933.png


Tulio na Tabia ya kuona mbali , na kwambia sasa kajimaliza
 
Kaka azimio ulilifatilia? --- wamekiuka taratibu na wao wamekubali kukiuka taratibu ili kupata wagombea wao


Mjumbe hauwawi mkuu-- mimi naeleza kilichotokea tu
Kuna sehemu twapishana. Mm nachosema ni kuwa form huanza kutoka kabla ya vikao vya kumpitisha mgombea. Azimio lolote likija kwenye vikao ni sawa lakini kabla ya hayo maazimio ya vikao, form ilitakiwa iwe imeshatoka
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Tofauti kubwa mnoo na JPM alivyoenda kiungwana 2020.
 
Back
Top Bottom