Kwahiyo kuuliza "mshindani ni wake ni nani?" nalo ni kosa.?Tunakupenda sana kijana , in short wazirii innocent bashungwa amewapa rungu police department ya DORIA MITANDAONI so be alarmed 😧
CCM mwaka huu imeshindwa kutoa form ya uraisi.hii ni fomu ya tume
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
naam, walipitisha azimio mwezi january 😁 na wajumbe wakapitisha kwa kishindoCCM mwaka huu imeshindwa kutoa form ya uraisi.
Yeye!Mshindani wake nani sasa?
Walisema hakutakua na form ya uraisi?naam, walipitisha azimio mwezi january 😁 na wajumbe wakapitisha kwa kishindo
ACT,CHAUMA,TLP NA WENGINE CHADEMA AMEKIMBIA UCHAGUZIMshindani wake nani sasa?
Kitu kama hiko mkuu, ngoja nicross checkWalisema hakutakua na form ya uraisi?
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Si waendelee tu hakuna haja ya kuingia gharama maana huko hana mshindani na hakunawell done.
Kila la kheri Dr.Samia Suluhu Hassan & Dr Emmanuel John Nchimbi 👊
Nashangaa sababu navyojua chama huanza kutoa form alafu mgombea au wagombea huchukua hujaza alafu baadae chama kinampitisha, alafu ndio mgombea anasubiri time ianze kutoa form akachukueKitu kama hiko mkuu, ngoja nicross check
Ila hili lisengeEndelea kusema ivyo ivyo na hamia Facebook, Instagram, X, peleka huu ushujaa wako KULE nenda kajifanye una FREE MIND.
Peleka huu ushujaa wako KULE chap chap utapelekwa ile safari ambayo watu wakiendaga Huwa hawarudii
Subiri tu utaliona, sisi zetu zitakuwa shangwe tupu.pigo gani sasa
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Wewe siyo ssNchi nzima imetoa chozi..Mama hutoboiiii..Nimekaaa paleee