PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Msajili kuna yule mwana sisiemu alipeleka lalamiko lake vipi hajatoa majibu bado kama ACT?
 
How ikulu inarusha mgombea mmoja si ilitakiwa ziwe page za ccm
 
Chadema wakikagua mradi wao wa no reform no election.
Screenshot_20250827-084828.jpg
 
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka, pigo lenye nguvu, pigo takatifu.
 
Back
Top Bottom