Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
POLEPOLE AMESEMA ASITHUBUTU
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
Imekuwa haina mvuto tena, contender wake anabaki kuwa salum mwl wa chauma.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
Yeye Polepole ndo asithubutu kujitokeza.POLEPOLE AMESEMA ASITHUBUTU
Kwakweli maelezo (kamba) yamenyooka kwelikweli, ila ukuta (vitendo), tanga wana wanasema zilongwa mbali, zitendwa mbali!Chadema wakikagua mradi wao wa no reform no election.
View attachment 3454450
Ikulu inarusha mkazi wa ikuluHow ikulu inarusha mgombea mmoja si ilitakiwa ziwe page za ccm
Uchaguzi haukuwekwa Ili uwe na mvutoImekuwa haina mvuto tena contender wake ni salum mwl.chauma/ chaubwabwa.
Haya maswali ilitakiwa yaulizwe miaka 1992.Qmamk mkeka umetiki. Werawera tukutane Septemba.
Imebuma hiiUchaguzi haukuwekwa Ili uwe na mvuto
Ukitaka waende kwa baiskeli?Leo malori yatakuwa bize kusomba watu!
Uchaguzi siyo fiestaImebuma hii
Ili.huu.wa sasa ni zaidi ya fiestaUchaguzi siyo fiesta
Fiesta ndiyo hupaswa ichangamke kama mtakavyoIli.huu.wa sasa ni zaidi ya fiesta