Kuna kitu mleta mada katuficha hapa.
1/Ni kikao gani hicho ambacho huyo Mwenyekiti wa CCM anahusika kuhudhuria?
2/Ni kwanini walimuonya asihudhurie hicho ''Kikao''?
3/Kikao hicho kilikuwa na umuhimu gani kwake Au kwao hao wahusika?
4/Ni kwanini aseme hawajui KABISA watu hao, halafu hapo hapo aseme watu hao walishawahi kuja kumwonya, alisikia sauti zao wakimlazimisha kufungua mlango, aliwafungulia dirisha la Kioo?