Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,105
- 1,406
nakilaani sana hiki chama cha tindikali
ni kipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakilaani sana hiki chama cha tindikali
hivi chadema mnaipeleka wapi nchi?? kwann hamuachi kula nyama za watu???
Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada ya watu wasiojulikana kumgongea na kumwamsha.
Hata hivyo anasema aligoma kufungua mlango bali alifungua kioo cha dirisha la chumbani kwake. Watu hao walimuonya kutohudhuria kikao ambacho yeye ni mhusika alipokataa, ndipo ghafla akahisi kumwagiwa kitu usoni kilichomletea maumivu makali sana.
Aliwahi kunawa maji lakini hali bado ni tete.Muda huu yupo safarini anakimbizwa Dar kwa matibabu zaidi baada ya uso wake kuharibika.
GAIRO

Kwani wakina Kileo wameachiwa kule Tabora?
Wana ccm na wengine wote wenye mapenzi mema tuzindi kumuombea ili aweze kupona:
Mwenyekiti wa CCM Wilaya mpya ya Gairo Bwana Omary Awadhi, amemwagiwa tindikali usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Gairo. Kwa mujibu wa mwenyekiti huyo tukio hilo lilitokea usiku wa manane baada ya watu wasiojulikana kumgongea na kumwamsha.
Hata hivyo anasema aligoma kufungua mlango bali alifungua kioo cha dirisha la chumbani kwake. Watu hao walimuonya kutohudhuria kikao ambacho yeye ni mhusika alipokataa, ndipo ghafla akahisi kumwagiwa kitu usoni kilichomletea maumivu makali sana.
Aliwahi kunawa maji lakini hali bado ni tete.Muda huu yupo safarini anakimbizwa Dar kwa matibabu zaidi baada ya uso wake kuharibika.
GAIRO
Kivipi?Vita ya kidini hii
Mleta mada naomba unijibu maswali yafuatayo ya ufahamu tu
1. Kama una taarifa ni kikao gani ambacho mwenyekiti huyo alikuwa anatakiwa kuhudhuria?
2. Hali ya kisiasa hapo Gairo kwa upande wa CCM ikoje? nakuuliza swali hili nikiwa na angalizo maeneo ambayo CCM wako taabani uamua kumtoa mwanachama wao kafara kwa kumfanyia chochote kibaya ili tu kupata mwanya wa kukamata wapinzani.
3. Vipi nyumba ya huyu mwenyekiti ikoje? ni kweli kuna uwezekano wa mazingira uliyoyazungumzia?
4. Je kuna watu waliokamatwa au kuhusishwa na tukio hilo?
5. Vipi Polisi wanasemaje?
Nitashukuru ukitolea ufafanuzi maswali yangu mkuu.
hivi chadema mnaipeleka wapi nchi?? kwann hamuachi kula nyama za watu???
Chadema mtatumaliza jamani tuoneeni huruma sisi ni binadamu kama nyie.