Mkuu unajidhalilisha Kama huna hoja Nenda kwenye jukwaa la MMU ndio madada Kama wewe wanakaaEeee mungu uliye hai, ona na sikia maombi ya magaidi haya, yalaani ee mungu unayeumba na uliyeumba binadamu kwa mfano wako, yalegeze na yapige kofi yatangulie kufa yenyewe!!!!!!!!!!! aaaaaimen
Eeee mungu uliye hai, ona na sikia maombi ya magaidi haya, yalaani ee mungu unayeumba na uliyeumba binadamu kwa mfano wako, yalegeze na yapige kofi yatangulie kufa yenyewe!!!!!!!!!!! aaaaaimen
Huo utakua ugomvi wao wenyewe wakipumbavu2 alafu wanaumizana
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa...HAKI YA GOD....Sina mbavuuuu uwiiiiiii!!!! DuuhKwani wakina Kileo wameachiwa kule Tabora?
Kibooooooooooooo!! Dar kumejaa hadi wordini hawana habari..!! siwezi kucheka mimi jamanii...Pole lakin M/kiti ...Endelea kunawa uso huku unaenda Tindikali inachukua maji mengi sana ya kunawia!!Barabara ya kuja Dar imefungwa! Hamkumsikia Membe? Mpelekeni kwingine la sivyo atafia kwenye jam! Mwigulu, mwingine huyo wa kupeleka majukwaani
kwahiyo Chadema mmejihalalishia staili ya tindikali kwa kwenda mbele
hivi chadema mnaipeleka wapi nchi?? kwann hamuachi kula nyama za watu???
hivi chadema mnaipeleka wapi nchi?? kwann hamuachi kula nyama za watu???
Kwani wakina Kileo wameachiwa kule Tabora?