Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

Korokoni siku hizi ni adabu? Au akili yako imeingiwa na mkojo
kwani watu wanawekwa jela kushikishwa ni gentleman?

au dhumuni la kuwekwa korokoroni nini unadhani?

au mtu akihukumia miaka 30 jela ili iwe fundisho kwa wengine hua ina maana gani unadhani?

wewe ni mzaliwa wa 2007 eeh, maana dah 🀣
 
Muhasisi wa haya yanayotokea hivi sasa ni huyo JPM, hata kama utumie Dodoki kumsafisha, hasafishiki.
Miaka mitatu sasa yupo kaburini bado tuu unamlaumu, viongozi wako wa Chadema c walisema huyu mama n msafi vp sasa mbona bado yale yanaendelea au n mzimu wa JPM ndio unayafanya haya
 
Siasa siasa siasa, yote yanayo fanyika yamepangwa sio kwa bahati mbaya tunaitaji vitu vitatu tu uongozi bora elimu bora na afya bora but hatuwez kuvipata mpaka yesu arudi coz bado ni watumwa wa mabebari na tunaishi kwenye mifumo yao so ukiamka asubuh sema allhamdulilah
 
Ushindi mwingine mkubwa kwa Chadema na Mbowe!
 
Mbowe ni mgeni wa hicho?
sifahamu,
huenda ndio maana ni nunda namna ile, lakini pia ni kaidi mno na mwenye historia ya uhalifu hatari zaid duniani, ugaidi,

hata hivyo,
hajulikani ni athari za konyagi ama ushirikiana ndizo zinamfanya awe hivyo πŸ’
 
Unayeogopa mahabusu ni wewe Mbowe alishakaa mahabusu zaidi ya siku 200.
unadhani panatisha,
ile ni sehemu ya kurekebisha tabia tu, na ndio maana wanaorudishwa mara kwa mara ni walevi,

na saa zingine roho za kigaidi zinamuandama afanye uovu tu. Na vyombo vya ulinzi na Usalama Tanzania havitachoka kushughulika na muhalifu yeyote yule na kurekebisha tabia πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…