Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

Adabu hatiwi mbowe mbowe yeye ni tajiri unaona mtoto wake wa mwisho ni wakeli Adabu utiwa wewe chawa ambaye familia yako inakula mlo mmoja tena kwa bahati, we Angalia viongozi wote wachadema wana Afya nzuri na furaha na amani angalia nyuso za wauwaji zilivyo
Mwambie ukweli huyo pimbi hajielewi kabisa! Maccm ni magaidi!
 
Adabu hatiwi mbowe mbowe yeye ni tajiri unaona mtoto wake wa mwisho ni wakeli Adabu utiwa wewe chawa ambaye familia yako inakula mlo mmoja tena kwa bahati, we Angalia viongozi wote wachadema wana Afya nzuri na furaha na amani angalia nyuso za wauwaji zilivyo
Tanzania kula mlo moja, milo miwili, mitatu, minne, tano au sita, ni uamuzi wako tu. Nini hakuna Tanzania, hata ujitese na njaa gentleman?🐒

suala la afya ni ni suala binafsi sana gentleman? So, viongozi wa Chadema wote wana afya nzuri?🤣

Na wana furaha na amani kabisaa?🤣
Sasa tabu zote zile za nini maskini ya Mungu? Ni konyagi zinawafurahisha, right?

korokoroni ni mahali pa kuwatia adabu makaidi, na kurekebisha tabia watu jeuri 🐒
 
Hizo ni dalili za kushindwa hoja, hoja kwa hoja siyo hoja kwa Risasi. CCM, hamna chenu tena kwenye nchi hii, hiyo mbeloko ya Dola yenyewe ipo karibu inapasuka, si umeona POLISI walivyo wachukua kistaarabu I Waandamanaji hakuna aliye pigwa hata mmo, Mbowe anamwambia POLISI usinishike naye anattii, Maandamano ijayo utaona POLISI wakipiga selfii na waandamanaji
 
CCM haina chao?🤣
kwani CCM ilikua na nini cha kwao?🤣

Gentleman,
CCM ina dhamana nzito na muhimu sana ya kuwatumikia wananchi Tanzania. Imebeba, ndoto, imani na matumaini ya waTanzania wote kwa mustakabali wao mwema na uhakika wa maendeleo yao kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimataifa. Mengineyo ndio ya CCM wenyewe.

Nadhani,
kiusalama, polisi hawezi kubembelezana na muhalifu yeyote 🐒
 
Kumbe imebeba ndoto ndoto miaka 61 bado ndoto, ahaaa, imebaki kuwapiga watu na kuwavizia vichoroni.
 
hizo ni dhana dhaifu ambazo hazidhoofishi jitihada kubwa na mahususi za kuwaletea wananchi maendeleo..

kama mpaka umri huo bado unakoroma tu nyumbani kwa wazazi na ugali wa kula kulala, utachelewa kutimiza ndoto zako chini ya CCM. Toka kwa wazazi ujitegemee kijana acha uvivu 🐒
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa akiwa anazungumza na wanahabari kuhusu maandamano

Ikumbukwe kuwa Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na mauaji, akiwemo kada wake, Ali Kibao.

Hata hivyo, Jeshi la Polisi kupitia msemaji wake, David Misime lilitangaza kuyapiga marufuku.

Kwa mujibu wa Mbowe, wameamua kuweka mkazo kuhusu suala hilo, baada ya maombi ya mahitaji, ikiwemo kutaka kujiuzulu kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, viongozi waandamizi wa ulinzi na usalama kama sehemu ya uwajibikaji.

Amesema jambo lingine waliloliomba ni kurejeshewa kwa viongozi wa chama hicho, waliotekwa kwa nyakati tofauti wakiwa hai au hali ya umauti, akiwemo Deusdetith Soka, Dioniz Kipanya, Jacob Mlay na Mbwana Kombo.

Soma Pia: LIVE Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Chama kimekosa mvuto mitaani mpaka humu JF
Uzi unaomuhusu mwenyekiti hauna hata comments 100 za nyumbu
 
Back
Top Bottom