Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

Askari kama huyu akistaafu anaishia tu kunywa gongo huko kwao tarime akilalamikia ugumu wa Maisha 🤔
 
Hovyo sana hilo zee. Liendelee kunuka huko liliko maana lenyewe ndo lilituletea haya mambo.
images (1).jpeg
 
Ratiba ilionyesha Mbowe ataongoza Maandamano kutokea Magomeni sasa cha ajabu ni nini?

Au kwa Sababu kaja na bint yake Gen Z Nicole?

DAR ya zama hizi ushamba mwingi sana 🐼
 
Kwani hii ni mara ya kwanza kuwekwa ndani au kufungwa
Infact,
manundazi wa kihalifu huwa hawazidishi mwaka lazma awe ametiwa adabu korokoroni hata mara 5 kwa mwaka, hadi kiburi na ukaidi wake ukome.

Hata hivyo vyombo vya ulinzi na Usalama vitaendelea kuwatia adabu bila aibu wahalifu wote kadiri inavyoonekana inafaa 🐒
 
Adabu hatiwi mbowe mbowe yeye ni tajiri unaona mtoto wake wa mwisho ni wakeli Adabu utiwa wewe chawa ambaye familia yako inakula mlo mmoja tena kwa bahati, we Angalia viongozi wote wachadema wana Afya nzuri na furaha na amani angalia nyuso za wauwaji zilivyo
 
Back
Top Bottom