Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

Mwambie ukweli huyo pimbi hajielewi kabisa! Maccm ni magaidi!
 
Tanzania kula mlo moja, milo miwili, mitatu, minne, tano au sita, ni uamuzi wako tu. Nini hakuna Tanzania, hata ujitese na njaa gentleman?πŸ’

suala la afya ni ni suala binafsi sana gentleman? So, viongozi wa Chadema wote wana afya nzuri?🀣

Na wana furaha na amani kabisaa?🀣
Sasa tabu zote zile za nini maskini ya Mungu? Ni konyagi zinawafurahisha, right?

korokoroni ni mahali pa kuwatia adabu makaidi, na kurekebisha tabia watu jeuri πŸ’
 
Hizo ni dalili za kushindwa hoja, hoja kwa hoja siyo hoja kwa Risasi. CCM, hamna chenu tena kwenye nchi hii, hiyo mbeloko ya Dola yenyewe ipo karibu inapasuka, si umeona POLISI walivyo wachukua kistaarabu I Waandamanaji hakuna aliye pigwa hata mmo, Mbowe anamwambia POLISI usinishike naye anattii, Maandamano ijayo utaona POLISI wakipiga selfii na waandamanaji
 
CCM haina chao?🀣
kwani CCM ilikua na nini cha kwao?🀣

Gentleman,
CCM ina dhamana nzito na muhimu sana ya kuwatumikia wananchi Tanzania. Imebeba, ndoto, imani na matumaini ya waTanzania wote kwa mustakabali wao mwema na uhakika wa maendeleo yao kiuchumi, kijamii, kisiasa, kitaifa na kimataifa. Mengineyo ndio ya CCM wenyewe.

Nadhani,
kiusalama, polisi hawezi kubembelezana na muhalifu yeyote πŸ’
 
Kumbe imebeba ndoto ndoto miaka 61 bado ndoto, ahaaa, imebaki kuwapiga watu na kuwavizia vichoroni.
 
Kumbe imebeba ndoto ndoto miaka 61 bado ndoto, ahaaa, imebaki kuwapiga watu na kuwavizia vichoroni.
hizo ni dhana dhaifu ambazo hazidhoofishi jitihada kubwa na mahususi za kuwaletea wananchi maendeleo..

kama mpaka umri huo bado unakoroma tu nyumbani kwa wazazi na ugali wa kula kulala, utachelewa kutimiza ndoto zako chini ya CCM. Toka kwa wazazi ujitegemee kijana acha uvivu πŸ’
 
Chama kimekosa mvuto mitaani mpaka humu JF
Uzi unaomuhusu mwenyekiti hauna hata comments 100 za nyumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…