Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Weee Mbowe miaka nenda rudi ndiye Mwenyekiti chadema hataki kuwaachia wenzake alafu eti tumpe urais! Sweka ndani
Magu aliwafyeka ndani wote wakatia adabu hawa wapiga deal wa hela ya umma eti ruzuku ya vyama wakati hata ofisi hawana!Amuulize Magufuli na ajifunze kutoka kwake, ni swala la mda tu!