Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe

Pre GE2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akamatwa uwanja wa Ndege Songwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Weee Mbowe miaka nenda rudi ndiye Mwenyekiti chadema hataki kuwaachia wenzake alafu eti tumpe urais! Sweka ndani

Magu aliwafyeka ndani wote wakatia adabu hawa wapiga deal wa hela ya umma eti ruzuku ya vyama wakati hata ofisi hawana!
waminywe tu hadi damu zivilie ndani wanazururazurura sana
 
Ukiona hivi yupo desperate na kiti chake anapigwa nje ndani, huku Chadema kule kina January na Kinana kwanini asichanganyikiwe
Hapo Bado hujasema,aliyeshika mpini ni sa 💯,hakuna mtu atapewa room ya kuvuruga amani ya Nchi hii,never.

Naunga mkono mshughulikiwe ipasavyo.
 
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya.

Pia soma=> Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Rais samia kwa sasa hafai tena kukabiliwa kwa siasa za kiungwana za

Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya.

Pia soma=> Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Rais Samia kwa sasa haihitajiki tena siasa za namna ya kiungwana kama afanyavyo Mbowe.
Sasa hivi anatakiwa kupewa siasa za kiume na za shoka za mtu kama Lissu.
Ni wakati muafaka wa kumsogeza Lissu front na kumpa support yote ya wananchi inayohitajika.

Katika ulimwengu wa roho kwa wale wajuao fumbo za shetani, nchi imeiva kwa sasa kutenga pumba na mchele.
 
Nchi yetu sote.
Kama unalijua Hilo usilete uchochesi wa vurugu Kwa kujikuta wewe ni Gen Z.

Mara ya Kwanza mliandamana mkapewa na ulinzi saizi mnataka kuvuka mipaka,unataka mvuruge amani Ili wawachekee au?
 
Kupora hela za wafanyabiashara,kuvuruga wawekezaji,kukimbiza matajiri,nk nk

Samia hachukui njia ya kuvutana na wenye pesa Wala kufukarisha jamii na sera za kijamaa ila naunga mkono kuwashughulikia Wanasiasa uchwara wa Upinzani.

Aliyesema anataka Mataji waishi kama mashetani ni nani? Unajua kampuni zilozohama Nchi hii? Acha kuwa punguani.
Ni kweli havutani na wafanyabiashara yeye biashara zake ni kuuza bandari na maliasili za Tanganyika tu.
 
Ngoja awanyooshe sawa sawa ndio tutajua imemshinda au hapana
Sasa hapo anamnyoosha nani kama ni kamata kamata kwa CDM ni jambo la kawaida, hii inaonyesha tu kuwa CCM inaanza kukata punzi wanategemea mbeleko. Mbona siasa zilikuwa zinakwenda vizuri tu
 
Kama sio ya kwanza Sasa malalamiko ya nini? Komaeni 😁😁
Komaien akina nani kaka? Hawa jamaa mnawafunga mnaawachia miaka nenda rudi, unadhani ni mara ya kwanza? Hawatoacha kulalamika, lakin wanazoea badilisheni mbinu
 
Ni kweli havutani na wafanyabiashara yeye biashara zake ni kuuza bandari na maliasili za Tanganyika tu.
Sawa ila hamtaruhusiwa kuvuruga Nchi Kwa kujifanya Gen Z 😂😂

Bado hujasema Hadi useme 🤣🤣
 
Kumkamata Mwenyekiti Mbowe hakutazuia haki ya kukusanyika. Samia kama nchi imemshinda aombe msaada.je hizi ndip ForR
 
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya.

Pia soma=> Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Haaaaaa 🤣🤣🤣🤣 hawa wapumbavu wa chadema niliwaambia humu kwa herufi kubwa sana ..kuwa wasifurahie kifo cha JPM bila kujua kama kina mikono ya watu au la ...maana kama kina mikono ya watu..kamwe siasa na nchi ya tanzania haziwezi kuwa njema ...maana hiyo mikono iliyo husika kwenye kifo kamwe awawezi kuruhusu haki au katiba mpya....niliwaambia kamwe samia awezi kuleta katiba mpya na sababu ni kifo cha jpm...walio nyuma ya hilo tukio kina ROSTAM AZIZI NA GENGE LAKE LA WAHUNI WA SOGA NA WAHUNI WACCM KWA UJUMLA awawezi kuatalisha maisha yao kwa kucheza sandakarawe...la sivyo wataangamia kwa vitendo vyao.
Nawaambia tena chadema kuwa uchaguzi wa 2025 utakuwa wa kipekee sana kamwe awajawai kuona uchaguzi wa aina hiyo toka siasa za vyama vingi kuanzishwa nchini ...washike haya maneno yangu.
 
Samia nchi imemshinda asaidiwe atuachie Tanganyika yetu arudi kwao akale urojo
Huyu mama kaanza kuchemsha.
Tusi mtusi ila tumsahihishe, 2025 ni pagumu sana ashajua kina mama hawampendi na wazee hawampendi hasa wa ccm.
Anahisi wapinzani watapata kura nyingi.
Ameruhusu demokrasia na ainache ifanye kazi yake
 
Back
Top Bottom