Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiachiwa wanakuwa na adabu,sharubu zikiota wanashughulikiwa ndio maisha yenyewe.Komaien akina nani kaka? Hawa jamaa mnawafunga mnaawachia miaka nenda rudi, unadhani ni mara ya kwanza? Hawatoacha kulalamika, lakin wanazoea badilisheni mbinu
Uchochezi gani wakati mnaiba Kura.TANZANIA ni yetu sote.Kama unalijua Hilo usilete uchochesi wa vurugu Kwa kujikuta wewe ni Gen Z.
Kama ni la kawaida basi wasilalamike washangilie si ni kawaida kwao? 😁😁Sasa hapo anamnyoosha nani kama ni kamata kamata kwa CDM ni jambo la kawaida, hii inaonyesha tu kuwa CCM inaanza kukata punzi wanategemea mbeleko. Mbona siasa zilikuwa zinakwenda vizuri tu
Marehemu????? Nyerere mpaka sasa miradi yote inaitwa kwa jina lake! Nenda kinyume uone music wake! Wee unafikiri ni wajinga watu wa nyumbani kwenu kila ukienda likizo wanakuambia ujasafisha kabuli la Babu yako?Huyo ni marehemu hana Msaada kwako Kwa Sasa
Kosa la Samia ni nini hapo? Sio yeye aliyeifuta Tanganyika wala aliyelazimisha Muungano. Mnamuonea tu, makosa wafanye wengine lawama apewe yeye. Samia kwa mujibu wa Nyerere na Karume na Katiba yetu ni mtanzania halisi kama watanzania wengine. Acha ubaguzi wa kike. Ni Rais yupi ambae hajakamata watu kwenye uongozi wake?Samia nchi imemshinda asaidiwe atuachie Tanganyika yetu arudi kwao akale urojo
Marehemu hana Msaada kwako Kwa Sasa Wala hana zindiko la Nchi ,usipoteze mdaMarehemu????? Nyerere mpaka sasa miradi yote inaitwa kwa jina lake! Nenda kinyume uone music wake! Wee unafikiri ni wajinga watu wa nyumbani kwenu kila ukienda likizo wanakuambia ujasafisha kabuli la Babu yako?
Huko Mbeya mnaenda kufanya nini? Nani hajui Nia yenu ovu? Mambo ya kura yanaingiaje hapa?Uchochezi gani wakati mnaiba Kura.TANZANIA ni yetu sote.
Kwahiyo mliingia makubaluano na waporaji??Hakuna cha 4R's ilikuwa ni mbinu ya kupora rasilimali za Tanganyika!
Wana pa kukimbilia wapi bwana wako hapa hapa. Kama wangekuwa na hiko unachoita adab wangekuwa kimya leo hii. Why hawako kimya is because mbinu zenu hazisaidii tena? Wamezoea wame adoptWakiachiwa wanakuwa na adabu,sharubu zikiota wanashughulikiwa ndio maisha yenyewe.
Wewe unataka waaachwe wavuruge Nchi? Hao si Wana pa kukimbilia? Mali zao ziko Nje ya Nchi, wengine kama kina Lisu nk familia zao ziko Ulaya unategemea wachekewe au?
Ungekuwa wewe ndio Serikali ungewachekea walete vurugu au siyo?
Maridhiano yale vipi tena ?.....
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya.
Pia soma=> Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Mbowe anajielewa

Tuendelee kula mtori,nyama tutazikuta chini
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya.
Pia soma=> Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
Walivyoshughulikiwa awamu ya Magufuli walikimbilia wapi? Unajitoa ufahamu sio?Wana pa kukimbilia wapi bwana wako hapa hapa. Kama wangekuwa na hiko unachoita adab wangekuwa kimya leo hii. Why hawako kimya is because mbinu zenu hazisaidii tena? Wamezoea wame adopt
🤣🤣🤣na still kaishia kubaki mifupa ardhini. Duniani hakuna wa milele haijalishi ni mbabe kiasi gani Allah atupe qaul thabeetJPM alisingiziwa mabaya mengi sana