Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,662
- 6,888
Mbona hii sio sababu ya kumkamata mtu!Weee Mbowe miaka nenda rudi ndiye Mwenyekiti chadema hataki kuwaachia wenzake alafu eti tumpe urais! Sweka ndani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hii sio sababu ya kumkamata mtu!Weee Mbowe miaka nenda rudi ndiye Mwenyekiti chadema hataki kuwaachia wenzake alafu eti tumpe urais! Sweka ndani!
Ndio tatizo la kutumia mdomo kama qum*aKama sio ya kwanza Sasa malalamiko ya nini? Komaeni 😁😁
Tunalaani katiba kuvunjwa halafu wewe unakenua meno uko timamu kwelindo akili zenu kulipwa kulipwa fanya yako ndo maana kila siku mnalialia
Mungu ni mwingi wa fadhili hata wapumbavu Kama hawa hupewa pumzi bureSerikali iko sawa kama walitaka kuvunja amani kwa matamshi yao mabaya.
Uko sawa kabisa Kenya wanajijua na wanaendelea, huku kwetu maitiNa yeye alalemo, siasa za kuigiza hizi, yaani kwa akili zao wanadhani Tanzania ni sawa na Kenya. Saikolojia ya nchi zetu ni tofauti.
Lissu alikuwa anajifanya gangwe mara azuie magari mabarabarani, atoe maneno machafu kwa viongozi.
Simba akilowana na mvua usimfananishe na paka
Asubuhi kabisa, hawataki katiba mpya 😂Uchaguzi ukifika utaona polisi wanaenda Zanzibar as if kuna waasiCcm bila police ni wepesi mnoo.
Sawa ila ndio hivyo tena mnapelekewa 🔥🔥Ndio tatizo la kutumia mdomo kama qum*a
Hili nalo neno.Hawataacha kuwakamata kama,kuwateka ,kuwaua, kuwafunga na kuwapiga kama wanaofanya huo uovu wanapandishwa vyeo.
Mbowe alikosa maono akakimbilia Maridhiano ili tu afanye siasa za majukwaani bila kuona wazi hatari iliyokuwa mbele yake.
Yaani Mbowe aliona wazi kuwa Wambura a'eteuliwa kuwa GP, Kingai ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai,Awazi ameteuliwa kuwa Kalishina wa Oparation nchi nzima akiwa anatokea Kamishina wa Zanzibar ambapo aliwadhibiti ACT vilivyo kwenyeuchaguzi wa 2020. Leo watu hao amboa ni kwa vitendo walionekana wazi kuwaumiza Vilivyo wapinzani wakati wa awamu iliyopita. Walipoteuliwa tu Chadema walipaswa kuvunja makubaliano na kususia shughumi zote za kwenda kunywa chai Ikulu kwa Mkoloni wa Karne hii.
Na kama kuna Mpinzani anayedhani kuwa chaguzi zijazo zitakua za haki bila Katiba mpya anajidanganya sana.
Wabunge wa CCM na CCM na serikali yake wana pesa nyingi na nafasi nyingi za kuwahinga wakuu wa vyombo vya usimamizi wa uchaguzi vikiwemo vyombo vya kipolisi.
Wakubwa wengi wa vyombo vya Dola ni makada mapandikizi ya CCM. Hawajali umoja wa kitaifa wala ustawi wa Demokrasia wala wajibu wa serikali kwa wananchi. Wanachojali ni kupata vyeo na mali binafsi hata kama watavyeka watu kwa halaiki.
Wapinzani walekua wakilalamika tu bila kujua kuwa hakuna anayejali malalamiko yao na maulivu yao .
Dawa ingekua moja tu kuwafungulia kesi kwa majina yao mana wanayoyafanya hayana tija kwa taifa zaidi ya kusaka vyeo wao binafsi kwa gharama ya kujenga mpasuko na chuki kwenye jamii.
Mahita aliwahi kudaganya umma kuwa kuna Kontena la visu limeinguzwa na Chama cha CUF lakini mpaka leo CUF hawajamfungulia kesi ya kuchafua image ya Chama kwa taifa na kimataifa.
Kama wapinzani watabaki kumlia Rais aliyeweka safu yake ya kudhibiti uchaguzi na kuhakilisha anashinda mitano tena bila kudili na RPC au ocd mhusika basi itakua ni kucheza na akili za watu.
OCD anasema wazi kuwa wewe hushindi halafu watu wanabaki wanakenua meno wakati kuna mahakama na sheria zipo za namna jeshi la polisi linayopaswa kutenda wakati wa uchaguzi.
Mbona Mtikila aliwatetemesha sana watawala kwa kutumia mahakama japo hakuwa na wanachama wengi wala ruzuku kubwa.
Alikuwa anasubiria US warudishe msaada wa pesa ya MCC, akijinadi kuwa utawala wake unafuata haki na demokrasia. Hapa amekwishaifunga milango. Itabidi aendelee kukopa mpaka afikie ukomo wa kukopa.Uko sahihi amejichafua zaidi hata waliokuwa hawamjui sasa ndio wameziona rangi zake. Kampeni za kumchafua zimeanzishwa rasmi na jeshi la polisi
Ule ulikuwa ni utapeli.What happened to maridhiano??
4R's.
Nchi imefika Patamu sana
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Mhe. John Pambalu wamekamatwa na Polisi muda huu uwanja wa ndege Songwe wakijiandaa kuelekea Mbeya, Ukamataji huu umeongozwa na RPC wa Mbeya.
========================
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA, John Mrema anasema “Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu akamatwe (jana Agosti 11, 2024) hatujui yuko wapi, Polisi hawasemi, hatujui kama yeye na wenzake wamekula au la, pia Lissu ana dawa anazotumia kila siku kutokana na majeraha ya risasi na sijui kama amekunywa dawa.”
Ameongeza “Kutokana na hali hiyo, Mbowe alilazimika kusafiri kwenda Mbeya kukutana na Polisi, alipowasili Saa 4 Asubuhi akiwa na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana, John Pambalu, Polisi wakawakamata na hatujui wako wapi.”
Alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa, SACP Benjamin Kuzaga simu yake ilipokelewa na msaidizi wake aliyesema “RPC yupo kwenye kikao”
Pia soma=> Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa
ulitaka uenyekiti aachiwe mjomba akoWeee Mbowe miaka nenda rudi ndiye Mwenyekiti chadema hataki kuwaachia wenzake alafu eti tumpe urais! Sweka ndani!
Sasa hii ni kuvuka mipaka