Kama unaona mada inakuzidi uwezo siyo lazima kuchangia kuonesha ujinga wako unaweza kupita kimya kimya tu.
CHADEMA kinafaidika nini na hizo picha za Mbowe na wenzake.Approach ya mbowe naielewa sana ila kutokana na ulafi wa baadhi ya wenzake ndani ya chama wanahisi kama kuna namna anafaidika na ikulu ya mambuzi.
Sasa picha ni kosa la nani?CHADEMA kinafaidika nini na hizo picha za Mbowe na wenzake.
Au ndiyo rasmi wameshajisajili kwenye kundi la vyama shikizi ???
Kwa sasa Freeman Mbowe ndio mwanasiasa Bora Kabisa nchiniHizi picha wenzake wanazitumia vibaya. Bora akutanenao kimyakimkya tu na matokeo yakiwa mazuri, ndio ajitokeze hadharani kupiga nao picha.
Pia, Mbowe akumbuke kauli za Makamba na kikwete za hivi kariibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM.
Wameshaanza kuchezewa siku nyingi ila bado hawajalijua hili.Wapinzani wasipoweza kufanya angalau mikutano ya hadhara, wajue wanachezewa tu.
Chadema mvimbe na mpasuke, Mbowe anafanya Siasa za kisasa, sio za Mdude Wala maranja Masese.
Tanzania hoyeee..
Nisikie mtu anasema mbona hakutuambia anaenda huko
Hamna kitu hapo wenzio walushalamba hasali. Ww baki kupiga domo humu. Alafu usijisahaulishe Mbowe alipigwa kesi ya ugaidi kipindi cha mazaHizi ndiyo siasa. Vyama vya upinzani viko kikatiba na wapinzani ni wananchi wenzetu.
Ila yule shetani wa Chato aliufanya upinzania ni uadui. Asante Mungu kwa kusikia maombi yetu hatimaye akasepeshwa jehanam mnamo 17/ 03/ 21
Nimekuuliza hizi picha zitawafaidisha nini CHADEMA ?Sasa picha ni kosa la nani?
Na ndicho walichokitaka wenzao wameshakipata.Hakuna maridhiano hapo bali ni utapeli wa mchana kweupe. Hao akina Mbowe ndio vinara wa kuua upinzani. Hakuna maridhiano huku bado unanyimwa uhuru, hayo sio maridhiano bali ni dawa ya usingizi ili kulaza upinzani.
Yeye kaweka hoja gani!?Pamba naye kwa hoja acha kuleta vioja
Kwahiyo ndo umtukanie wazazi wake ???Yeye kaweka hoja gani!?
Na asali wanayolamba pia iwe inawekwa hadharani?Wanayo yaongea yawe yanawekwa peupe.
Hizi ni juhudi kubwa sana na zinaleta imani na matumaini mapya kuelekea Tanzania tuitakayo.π π ππ Haya bhana