Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

Mbowe akili zake siyo timamu ni kama sa100 tu
 
Millard Ayo hanaga propaganda mkuu hii ni kweli tupu
Mbowe ni kama vile analazimisha tu. Ameshafanya kila linalowezekana na ni lijendi kwenye siasa za upinzani. Apumzike sasa abakie kuwa mshauri tu. Ni wakati wa akina Tundu, Heche na wengine nao kujaribu. Yaani Mbowe utafikiri siyo yeye....
 
Nilitoa ushauri huu vilazza wakatukana.

Mwanadamu ni vyema ukasoma alama za nyakati.
Wanatumia nguvu kubwa kumdunisha Lissu.

Ukweli ni kwamba Mbowe amekosa ladha ya upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…