Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe asusiwa na wafuasi wake huko kigoma. Jionee mwenyewe

"Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao watoto ni hazina kubwa zaidi kuliko wale People's Power.
Kwanza "People's Power"ni mbinu ya Imperialists. "People's Power"ya Phillipines,kwa mfano,iliyomuondoa Ferdinand Marcos ilikuwa actually CIA Power.
 
Hamna dingi hapo hao ni watoto walienda kushangaa chopa ya mwenyekiti na ashukuru hao watoto kuhudhuria vinginevyo angepata aibu ya mwaka
avogadro
 
"Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hiyo isikupe shida sana. Hao ndiyo wapiga kura watarajiwa.
 
Back
Top Bottom