Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Lissu siyo wa kupandishwa kwenye jukwaa la hivi. Mtu mwenyewe ana shida ya mguu. Yaani hata kutengeneza jukwaa imara haiwezekani? Kuna tatizo mahali!Nilitoa ushauri huu vilazza wakatukana.
Mwanadamu ni vyema ukasoma alama za nyakati.
Wanatumia nguvu kubwa kumdunisha Lissu.
Ukweli ni kwamba Mbowe amekosa ladha ya upinzani