Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Lissu siyo wa kupandishwa kwenye jukwaa la hivi. Mtu mwenyewe ana shida ya mguu. Yaani hata kutengeneza jukwaa imara haiwezekani? Kuna tatizo mahali!Nilitoa ushauri huu vilazza wakatukana.
Mwanadamu ni vyema ukasoma alama za nyakati.
Wanatumia nguvu kubwa kumdunisha Lissu.
Ukweli ni kwamba Mbowe amekosa ladha ya upinzani
Uzuri wake hajali na hatumii nguvu kubwaLissu siyo wa kupandishwa kwenye jukwaa la hivi. Mtu mwenyewe ana shida ya mguu. Yaani hata kutengeneza jukwaa imara haiwezekani? Kuna tatizo mahali!
View attachment 2630537
"Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe"Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyeweView attachment 2630444View attachment 2630445View attachment 2630445
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Erythrocyte tupe na picha zako tuone.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila chadema wana heka heka!!! Sijui hata huo ubusy wanajipa wa nini!
Watoto wanapigania kesho iliyobora huku mijitu mizima mkiwa hamjitambuiKatika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyeweView attachment 2630444View attachment 2630445View attachment 2630445
We hauwajui waha asilia. Hivyo ni vidingiKatika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyeweView attachment 2630444View attachment 2630445View attachment 2630445
Noana wanamshangaa tu hapoKatika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyeweView attachment 2630444View attachment 2630445View attachment 2630445
Hilo ni jukwaa au kichanja .Na akiangakua hapo atasingizia usalama wa taifa ndo wamemtega , hi nchi inavituko balaaLissu siyo wa kupandishwa kwenye jukwaa la hivi. Mtu mwenyewe ana shida ya mguu. Yaani hata kutengeneza jukwaa imara haiwezekani? Kuna tatizo mahali!
View attachment 2630537
Sio kwamba nampenda Mbowe,ila hii umedanganya.Yuko wapi Mbowe hapo?Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyewe
View attachment 2630444View attachment 2630446
Safi. hawa ndio taifa la keshoKatika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.
Jionee mwenyewe
View attachment 2630444View attachment 2630446
Acheni siasa uandishi wa habari
Lissu siyo wa kupandishwa kwenye jukwaa la hivi. Mtu mwenyewe ana shida ya mguu. Yaani hata kutengeneza jukwaa imara haiwezekani? Kuna tatizo mahali!
View attachment 2630537