"Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao watoto ni hazina kubwa zaidi kuliko wale People's Power.
Kwanza "People's Power"ni mbinu ya Imperialists. "People's Power"ya Phillipines,kwa mfano,iliyomuondoa Ferdinand Marcos ilikuwa actually CIA Power.
"Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Katika hali isiyo ya kawaida mwenyekiti wa CHADEMA Ndugu Freeman Mbowe amejikuta akihutubia umati wa watoto huko buhigwe kigoma baada ya wafuasi wa chama hicho kususia mkutano wake.