Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

eti ccm sema Magufuli kesha jifurahisha na leo atagonga kila aina ya glass ya mvinyo kujisifu kwamba tangu upinzani uanze Mbowe alikuwa hajaonja jela yeye kiboka kamlaza Mbowe jela miezi mitatu naona na nchi sasa itakuwa na bajeti yakutununulia noah sisi sote na Balimi maana furuha ya Magu haipimiki ,Maguu hoyeee umeswekelea ndani Mbowe ,wewe ndio dikteta maarufu Afrika mashariki na Afrika nzima
 
Good, kama una nia ovu utafanya hivyo! see this again, naomba poteza muda kidogo usome...
Kuna sababu ambazo mahakama huwa inaziangalia hata kama mtu amefail bail conditions!!! nitakupa judgement nzima

View attachment 1039987
Nimeisoma. Hapo kama ulivyosema, inategemea sana na nia ya hakimu mwenye kutoa maamuzi. Kumbuka kama nia ni ovu or vice versa, kutatafutwa any technical errors (regardless of impacts on the matter) ili tu ku justify na mwisho kutoa maamuzi. And I hope the same was done to reach to conclusions on this. But you can't point out any wrong doing on the conclusion.

NB: Nimejadili nikiwa neutral, just for the matter of discussion. Kiukweli hakimu angeweza kutazama kwamba kosa la kukiuka dhamana si kubwa kiasi hicho na kwa sababu zilizotolewa na wahusika "ugonjwa'" angeweza kuamua vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe Mbowe kiazi kweli, karuka dhamana ili awekwe jela halafu Lowassa aibe siri za chama chake halafu akiulizwa aseme hajui maana alikuwa jela wakati Lowassa anaiba siri!
Jiwe ndio Kiazi sana ameichoresha nchi inaitwa Tanzania ya dikteta yeye anachekelea tu
 
Kwa akili hizo ndio maana kila mchezo mkiucheza mnaishia kuumbuana hadharani. Juzi mkuu amekumbushia kesi ya MO.

Msifikirie watanzania ni wajinga kiasi hicho
 
Everyone should read this before commenting rubbish on this thread

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😡
 
Kwani ukiwa mahabusu huruhusiwi kuugua? Aliyekuambia akiwa mahabusu huo ugonjwa haukua unampata ni nani? Au unatuambia akiwa mahabusu akaugua huo ugonjwa basi angeachiwa na kwa kuwa hakuachiwa hakuugua huo ugonjwa akiwa mahabusu? Watu wengine mnaweka thread kama vile kuna mtu kaazima ubongo wenu.
 
Umepotea Kama lilivyopotea Tumbo la Yule Singasinga wa IPTL ambae lilishindikana
 
Mimi nina wasiwasi na Afya ya Mwenyekiti akitoka anatakiwa apime damu haraka inawezekana kabisa keshalishwa sumu,juzi wamejifanya kuwapima Wafungwa HIV kama na yeye alikuwemo lilikuwa Lengo la kujua stage ya Sumu.
 
Umefaidikaje kukaa kwake Ndani?
sio mimi tu naefaidika,
nifaida kwa wahusika pia😆
huoni kesi itawahi kuisha na kina mnyika watakuwa huru na majukum yao kuliko sasa hivi wanaishi kwa dhamana!!!?
 
m
mbona sasa hivi haumpati siku ya tarehe ya kusimama kizimbani?
 
Kakubali sheria ,"ngesem wahed"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili hizo ndio maana kila mchezo mkiucheza mnaishia kuumbuana hadharani. Juzi mkuu amekumbushia kesi ya MO.

Msifikirie watanzania ni wajinga kiasi hicho
Alisema watanzania sio wajinga sana, INA maana watanzania ni wajinga ila kidogo
 
Hata Matako ni jina pia sifahamu kwanini alijibadilisha.
Mimi nilikuwa nakufikiri kama mtu wa maana, kumbe??? Nilikujibu hapa in line with your post, ukaripoti nikafungiwa (anyway, I had an alternative way to jump on JF), naona umerudia kwa mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…