Nyalutubwi
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 573
- 172
Aisee si ujaribu tu kuwa muungwana kwenye hili jambo? Linapotokea jambo la msiba basi jaribu kumsitiri marehemu hata kama unayajua maovu yake kumbuka zuri lake hata moja tu
Kweli mkuuChadema imekua simple sana tunataka vitendo maneno yanachosha au kina Mbowe mnadhani nyie ndo mpo salama tunataka vitendo
Hivi vijana wa CCM wako juu ya sheria? Mbona kama haki haitatendeka nchi itakwenda pabaya. Tukumbuke vita haitangalia nani yuko CCM au wapi. Jamani wazazi wawafundishe watoto wao maadili. Haiwezekani tukawa tunaimba amani huku tunatembea na mapanga kwenye suruali zetu. Haiwezekani.
Magufuli ingilia kati, weka ndani wauaji wote
Na kampeni zote zile ccm waje wamuue uchaguzi umeshapita na wameshinda?,aah wapi hapa kuna kitu,wote mliokula pesa ya laigwanan kaeni chonjo,,,
Unamaana cdm na cuf ndiyo wauwaji
hustahili kuitwa mwanadamu maana uwezo wako kiajili ni duni kuliko mbwa.
Umeshasikia popote hao uliwataja wameuwa? Au wao ndio wanauwawa, kutiwa lockup na kupigwa.