TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
Magufuli tukuone hapa...sheria ichukue mkondo wake...watu wote wanafahamika..au kama slogan ya "hapa kazi tu", ndio inatekelezwa tuamniwe....
 
Mi Nina imanu kuwa anayemwaga damu ya MTU hakika Mungu atatumia busara zake kupoza machungu yetu tuliyonayo.ukweli huonyesha njia yakufika tunapo kwenda.
 
Mkuu umenifanya niwe na morali ya kushika mtutu. Kama angekua ndugu yangu ningelipa
 
Hatuwezi kusema pole yakaishia hapo! Ni lazima tuelewe kuwa kutokana na siasa za kihuni za wana CCM maisha ya binadamu yamegharamika!

Tutachukua hatua kali ili siku wakiwaona wengine wapate mbali! Ni lazima waujutie uhuni wao huo!

Tutawakomesha kwa uchu na njaa kali!!!
 

Sheria ipi? Ya CCM?
 
R.I.P kamanda. Sheria ichukue mkondo wake kwa wahusika. Hili la mauaji linapaswa kukemewa. Kama ni huyo kamanda ndo alikiwa chanzo, ukweli ubainishwe

Ila wauaji watakuwa....wanajulikana ....sheria ifute mkondo tu.....Tarime kijana aliuwawa kipindi cha kampeni...leo tena mwingine ....kwel Mungu awalaani waliopanga...na wanaoshabikia.....
 
Halafu ati wapinzani wanataka kupoteza Amani wakati hawa mafisi yanakuwa makamanda ngoja nikamdedishe na wao mmoja dadeki zao
 
Niliwahi kuongea na Mbunge mmoja mteule akanambia kati ya vijana ambao ni hazina kubwa CHADEMA ni Alfonce Mawazo. Very sad.
 

Sasa hapa unaona umeongea logic
Upuuzi mtupu
Kumbe kuna binadamu wanaroho ngumu kiasi hiki
We unaona sawa tu kamanda kuuawa
 
...this is not fair aisee, not fair at all!
 
ilikuwa asbh saa 5 akavamiwa na vijana wa ccm green guard wakati anajiaandaa kufanya kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani mji mdogo wa katoro,na waliomuua wanajulikana na hakuna aliyekamatwa....ccm hacheni masihala mnaleta maafa
aiseee......let me cry for mawazo..
Hakika damu inavuja machoni mwangu
 
Ila inaumiza sana..hii...tatiizo watua wamelewa madaraka.......
 
nawaonea sana huruma wanabadiliko walioko kanda ya ziwa. poleni sana. ....ccm wako juu ya sheria....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…