No,kama ni kweli polisi wanahusika amepambana nao sana,lakini kwa kweli kazi ameifanya na kama taarifa hizi ni kweli basi apumzike kwa amani ya Bwana wetu Yesu Kristo
Machozi yananitoka.....harakati za ukombozi Tanzania ni safari ndefu... Alikuwa Mwenyekiti Mkoa Wa geita Inasemekana alipigwa na mapanga na nyundo na Vijana Wa Green Gad
Nakumbuka hata mgombea ubunge Geita mjini alishasema kuwa wana harakati wote wa upinzani kanda ya ziwa wanawindwa sana..ni kwamba kitengo wanataka kufuta kabisa upinzani mkoani Geita na kanda yote ya ziwa ambapo mkuu anatoka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.